Recent content by kalimani

  1. K

    JamiiForums Tanzania Bado, gharama za harusi jamani, tafadhali

    mbona sioni maji ya kunywa?keki?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Historia ya ndoa yangu

    pooole mie mume wangu ananuna hd anataka kupasuka mm namtazama ila am exosted nataka kuchukua maamuzi magumu kila mtu achukue 50 zake
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kakuta KY kwenye pochi ya mke wake

    Lkn angeululizwa kwanza labda kapewa na rafiki yake na yy akaijaribu kwakuwa huenda jamaa hamuandai vzr anakuwa anaumia by the way c alitumwa cm?yy kayataka mwenyewe
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mgomo WA kufanya ngono kati ya wanaume na wanawake wote.

    Aaaah mim nagoma kwani lazima?tatizo wanaume wataumia sana
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akiolewa kunaulazima aitwe jina la ukoo wa mmewe?

    ndoa ni akili lkn c akili ya kubadilisha majina,unabatizwa mara ngapi??mie sioni kama ni ishu saaana,mtu anayetaka kubadili afanye hivyo binafsi mimi hapana nina 10yrs kwenye ndoa ila cjabadili no problems,elewaneni tu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Kyela asimamishwa kazi baada ya kufumaniwa na mkewe

    best loosers,well done!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akiolewa kunaulazima aitwe jina la ukoo wa mmewe?

    kwani nitakuwa nimeolewa na ukoo???au yy ni babaangu?zamani walituzingua ili watumiliki hiyo haipoooo
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu kumridhisha mwanamke

    Uzi haujakamilika,kuridhika kwenye nn?mapenzi?maisha?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume amkeni acheni kulalama

    yaani hapo tukubali kuwa michepuko lazima maana mtu anayesubiria mwanamke awe kichwa cha familia kero haziishi na mwishowe lazima pumziko litafutwe ila ki ukweli tabia hz zinakera mbaya
  10. K

    JamiiForums Tanzania Sababu Kuu za Kuchepuka

    hajatoa sababu ila anaonyesha jinsi anavyo enjoy!usituhamasishe hapa kwanza huo ni udhalilishwaji,vichochoroni!??tena kwa kuviziana?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Jamani wanaume wasomi mna nini?

    PHD ndo nn?nan alomwambia kwenye mapenzi kuna hayo masuala,nina wasiwasi na uwezo wake wa kufikiri hapo anachanganya maisha ya ndoa na elimu,kama ameamua kuoa tena alijua kiwango cha elimu cha aliyemuoa huo ni ulimbukeni akasome sociology huko!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kati ya vitu vinavyonikera ni kukaguliwa simu yangu.

    na siku hz tunapekuliwa hadi kwenye mapochi cjui vinavyotafutwa ni nn?ni mapenzi tu au?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanaume mimi namwacha

    hujamuacha tuu?mie nimeshakasirika
  14. K

    JamiiForums Tanzania Binti huyu ametupanga wanaume kumi na moja

    hiyo ni timu ya azam au yangaa?hebu achana nae?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Binti huyu ametupanga wanaume kumi na moja

    Huyo anatikisa kiberiti we msamehe kila mtu achukue hamsini zake
Back
Top Bottom