Recent content by Kalila

  1. K

    JamiiForums Tanzania *Wazo La Leo tarehe 09/03/2013*

    WAZO LA LEO; Kumbuka kujenga kwa wakwe ni sawa na kujenga kwenye hifadhi ya barabara...itakula kwako tu!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa utegemezi wa TZ umetoka 45% mwaka 2005 hadi 22% mwaka huu??

    Sasa mbona deni la taifa linazidi kupaa au tumepunguza kuomba misaada tumeongeza kukopa aaaaaarg
  3. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa POS software nzuri.

    Watafute Exact software wapo mbezi beach.0715219171 ni wazuri sana
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    akijibu hoja ya mwampamba mke wa slaa anasema nape ni mtoto wa mwandosya ya kweli haya jamani
  5. K

    JamiiForums Tanzania CCM na mkutano Temeke mwisho

    Sasa kama wamebeba watu si wangewapeleka ukumbini wafanye semina mzee wa iyena iyena hajazi watu
  6. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, matusi ya nini? Mtu akihama ina maana mna kasoro, jiulizeni kwanza

    Mtu anaishi ulaya anawaza kumng'oa Msigwa poor CCM hata kula za maoni bado muulize mwakalebela
  7. K

    JamiiForums Tanzania Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

    Kudos Saanane hawawezi kuwa CHADEMA huku wanafanya kazi za CCM wakaropoke na siri za CCM waone yatakayo wakuta huko wapi shitambalaaaa
  8. K

    JamiiForums Tanzania Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    Mungu tusaidie
  9. K

    JamiiForums Tanzania "Natural Justice" yawabeba Mnyika,Lissu na Nassari

    tutawapokea jumapili watajisafisha lakini hawataweza
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Safari ya Zitto imefika mwisho

    Huyo jamaa ndo amekuwa agenda #shame nchemba
  11. K

    JamiiForums Tanzania Bungeni kimenuka, Naibu Spika azomewa! Bunge lavunjika kabla ya muda...

    CCM wakapumzike tu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa, ukweli tunaokuambia ni huu, tunakuomba sasa uwe imara kuusimamia!

    Divide and rule
  13. K

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Kutoka Baraza Kuu la CHADEMA - Diamond Jubilee Hall

    Hizo tshert zinapatikana wapi nzuri sana
  14. K

    JamiiForums Tanzania Rufaa: Barua ya Mtela Allamu Mwampamba kwa katibu mkuu wa CHADEMA taifa hii hapa

    Huyo si ndo anamtukana Dr slaa Sasa anaaandika mabarua ya nini si aende CCM
Back
Top Bottom