Recent content by kaligopelelo

  1. kaligopelelo

    JamiiForums Tanzania Hakikisha mda wote nyumbani kwako haukosi dawa za dharula

    Hiyo Panadol ya Kenya unameza moja moja? Hizi za bongo tunameza nyingi nyingi sana.
  2. kaligopelelo

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Madenge kasema kwamba wao wamepokea $2M. Sielewi kwanini mnamtukana wakati inajulikana kabisa watu wanalipwa?

    Huo msamaha ameomba mahakamani au k kwenye mitandao ya kijamii? Aliyeombwa msamaha ni nani? Na sheria zetu za nchi zikoje juu ya tukio kama hili? Mtu afanye uhaini halafu kesi iishe kwa kuomba msamaha inaingia alikilini?
  3. kaligopelelo

    JamiiForums Tanzania Je, ni nani aliyejenga jumba la mawe pale Morogoro Msamvu?

    Waulize hao wanaouza kitimoto
  4. kaligopelelo

    JamiiForums Tanzania Marekani yapeleka meli za kivita 5 katika pwani ya Israel

    Sasa unasaidia silaha wakimbizi kwanini wasiletewe viroba vya mchele na ngano ?
  5. kaligopelelo

    JamiiForums Tanzania SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Kwamba wanamuomba msamaha Iran kimya kimya
  6. kaligopelelo

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya ajabu ya maji yaliochanganywa na ndimu ya Unga kidogo

    Acha uchawi basi
  7. kaligopelelo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ikitokea Mchungaji Gwajima akajiunga CHAUMMA, upepo wa siasa utabadilika nchini

    Kwahiyo unataka kusema kuwa,ccm walipanga kuleta Taharuki Kwa kuteka watu hovyo na kumtoa kafara Gwajima? Sasa mwambieni huyo Gwajima asikimbie askari hii ni movie tu inachezwa halafu tuone huko mbele kutatokea nini.
  8. kaligopelelo

    JamiiForums Tanzania Simba akichukua kombe, nipigwe ban ya siku tano

    Mpaka wafukuzane na wataanza kuvujisha siri zao zote za ubaya ubwela
  9. kaligopelelo

    JamiiForums Tanzania Ili tuishi kwa amani na furaha. Tupatieni majina ya Wachezaji wa Simba tuwazike na Mtujulishe wamefikia wapi kwa sasa

    Wasije wakagomea mechi wakidhani Kuna Wakina Mguto huko caf
  10. kaligopelelo

    JamiiForums Tanzania 'Technically' nina wasiwasi na Simba SC kupata Matokeo CAFCC Final huko New Amaan Stadium Zanzibar

    Ukiwa serious unatema madini tupu,hata Jemedari Saidi itakuwa anaibia vitu kwako.
  11. kaligopelelo

    JamiiForums Tanzania Simba wamewafanyia mashabiki wao utapeli

    😂😂 usikute huyu ndo Mguto kabisa yaani,hizi fake id hizi basi tu.
Back
Top Bottom