Recent content by kalekela

  1. K

    JK ateua Mkurugenzi Mtendaji TANESCO

    Nimeamini dhana ya vijana wanaweza,coz mraba ni kijana aliyeteuliwa kukaimu nafasi hiyo so kama angeli prove failure pewa kuendelea na hiyo possition,KIKUBWA NI KWA WAFANYAKAZI WA TANESCO KUTOA USHIRIKIANO:welcome:
  2. K

    Tumwombeeni Mwigulu afya njema... Ana 'siri nzito'

    mmmm hizi siasa ni ngumu sana,
  3. K

    March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

    hii thread huwa inapotea sana ni muhumi kutupatia update,sisi watz tupo pamoja nanyi ila reflection ya nani mshindi inaonekana,
  4. K

    FBI ndani ya Tanzania, kazi ipo

    Huu ni uamuzi mzuri wa serikali lazima tutumie marafi kuongeza nguvu kwa suala hili,maana leo wataua viongozi wadini kesho viongozi wa serikali.
  5. K

    Nape: Dr. Slaa anaiua CHADEMA

    Kupoteza kata tatu siyo mchezo inabidi tutafakari wana ccm wenzangu,wenzetu wametetea kaza zao nakutunyang"anya zetu inabidi tutafakari.hata mbuyu ulianza kama mchicha. :fencing:
  6. K

    Ajali mbaya leo barabara ya Dar-Moro

    Tupia hiyo picha mkuu ili tujione kilichojili.
  7. K

    Tanga matokeo ya uchaguzi CCM-NEC mwenyekiti ni Henry Shekifu (mb Lushoto)

    hapana manyara imeshapata mkuu wa mkoa mwingine ,hivyo shekifu si mkuu wa mkoa wa manyara.
  8. K

    RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

    rip kamanda,bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe
Back
Top Bottom