Recent content by kalechee

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe arejesha Shangingi la Kiongozi wa Upinzani Bungeni

    ni rais mbov ktk historia ya africa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe arejesha Shangingi la Kiongozi wa Upinzani Bungeni

    kumbe ni mkopo,me nlzan amekwapua kama wanavyofanya magamba
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe arejesha Shangingi la Kiongozi wa Upinzani Bungeni

    haijalish nia yake,nch inafaidika kwa hlo
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe arejesha Shangingi la Kiongozi wa Upinzani Bungeni

    kama anatafuta popularity huku nchi inafaidika,let it be
  5. K

    JamiiForums Tanzania UDOM vs UDSM

    naomba hii mada ifungwe,ni udhalilishaji wa hali ya juu kulinganisha UDOM na UDSM,UDOM inahitaji atleast 10 yrs from now kunusa level za UDSM,hapo ni baada ya siasa kuwekwa pembeni na kina kikula kuanza kuwa serious na elimu za watu,tuacheni utani jamani
  6. K

    JamiiForums Tanzania Dawa ya migomo vyuo vikuu yapatikana.

    sasa hawa wanafunz wakptia jkt si ndo watakua sugu kabisa
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kunakitu sio bure UDOM

    inabidi urudi nyuma ujiulize UDOM ilianzishwa kwanini?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mgomo wanukia UDOM wa kutokuwa na field

    we mbuz kweli,kwa hyo field sio muhim
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kirusi cha SIASA za SISIEM kinavyoitafuna UDOM

    mbona ujasiriamali upo
  10. K

    JamiiForums Tanzania UDOM kuandamana kwenda Bungeni

    ndugu yangu usiwe na dharau ka za mwanamke wa pwani,tofauti ya UD na UDOM ni kwamba UD wanachukua wanafunz wenye div 1 tu kwa course zenye competition,wakat UDOM wanachukua mpaka wenye div 2,sio kweli kwamba UDOM wanachukua failures,rekebisha post,hakuna chuo cha govt kinachodahili watu ambao...
  11. K

    JamiiForums Tanzania UDOM: Degree programme zilizoruhusiwa kufanya field na ambazo zimenyimwa

    •DEGREE PROGAMMES AMBAZO ZIMERUHUSIWA KUFANYA FIELD PRACTICAL TRAINING MWAKA HUU KTK COLLEGE YA HUMANITIES AND SOCIAL SCIENCE YA UDOM:• Bachelor of Business Administration(BBA), Bachelor of Business Administration– BBA Evening• Bachelor of Commerce in Accounting - B.Com (AC)• Bachelor...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Posho na Mishahara ya wabunge...

    ni vita ya watz na wasio watz,period.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Barua: Zitto akataa posho za vikao

    aise the ZITTO we know is back.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mgomo wanukia UDOM wa kutokuwa na field

    walim cjui wana matatzo gan?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mgomo wanukia UDOM wa kutokuwa na field

    we mwehu embu nikumbushe ule mgomo wa tareh 20 dec. Las yr ulikuwa wa college gani?
Back
Top Bottom