Mgomo wanukia UDOM wa kutokuwa na field | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wanukia UDOM wa kutokuwa na field

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by SOKON 1, Jun 9, 2011.

 1. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Baada ya waziri wa ndani S. F. Nahoza na waziri wa elimu Kawambwa kuja udom na kuhaidi kutakuwa na mafunzo ya vitendo ila uongozi wa chuo umetoa taharifa kuwa hakutakuwa na mafunzo ya vitendo.Wanafunzi wanalaani kwa kitendo cha uyo waziri kuja na kutoa matamko ambayo ameshindwa kuyatimiza.TAMKO LA WANACHUO NI HAKUNA KWENDA MADARASANI MPAKA HAO MAWAZIRI WAREJEE KAULI ZAO ZA MWANZO.My take:kwa hali ilivyo udom ni tete kwani uongozi wa juu wa nchi una list ya majina ya wanafunzi wa social science and humanities, education ambao walitakiwa wafukunzwe kama wangewasupport wanafunzi wa informatic waliofukunzwa mwezi mmoja uliopita. Sijui kipi kitakachofuata.......nawasilisha
   
 2. n

  nyopa84 Member

  #2
  Jun 9, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baada ya kuahidiwa mafunzo kwa vitendo wanafunzi wa college ya social science hapa Udom na waziri wa elimu mh kawambwa mambo yameenda ndivyo sivyo baada ya leo mida ya saa !0 jioni kutoka tangazo la kutokuwepo kwa mafunzo hayo kwa madai kwamba tcu wamekataa wakati waziri kawambwa alihakikisha mafunzo hayo kufanyika na chuo kikaandaa muongozo lakin matumain yameondoka mpaka sasa . Nanaomba kuwakilisha
   
 3. HOYANGA

  HOYANGA Senior Member

  #3
  Jun 9, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Eleza vema sababu za tcu kukataa, pia hayo mafunzo yalipasa kumuhusu nani, maana college ile ni kubwa sana!!
   
 4. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  MODS pelekeni jukwaa la elimu hii
   
 5. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Kawambwa ni mwanasiasa tu, hivyo dogo wewe wasikilize TCU zaidi kwani wao ndio wanajua umuhimu wa field kwenu nyinyi hapo social science, mimi ninavyojua kuna Degree program nyingine haziitaji kwenda field na kauli yako ninaipinga kwani siamini kama ni college nzima ya social science haitaenda field.

  Kwani ninavyojua kuna program nyingine hapo au miaka mingine (mwaka wa pili) lazima waende field (BA with education), Acha kuwasikiliza sana wanasiasa, kawambwa ni Engineer so hawezi kujua umuhimu wa field kwa mtu anaesomea history na kiswahili sasa hapo field ya nini mkuu.
   
 6. Fungo N.

  Fungo N. JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kwa hapo udom wenyetaaluma ya migomo ni udom elimu hawa wakiamua wameamua na naweza amini kuwa kwa weza kuwa na mgomo lakini social sc never labda kama mmeacha kushangaa majengo na kusifia kozi zenu
   
 7. sixgates

  sixgates JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 3,974
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  naunga mkono hoja!
   
 8. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,144
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  mkuu mwaka wa ngapi wanataka kwenda field.first year social science kwani wanaenda field? Tujuze mkuu mi sielewi.
   
 9. j

  jakamoyo JF-Expert Member

  #9
  Jun 10, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Mkuu maelezo yako hajakamilika kwa mtazamo wangu yamekaa kishabiki zaidi (im sory 4that) na sio kutoa taarifa kwa manufaa ya Tanzania yetu. Unataka tukuelewe kuwa kila degree program wanaosoma humanity and social science wanakwenda field jambo ambalo sio kweli hata kidogo.
  Nakushauri usomo kwa bidii na sio kushabikia siasa zisizo na manufaa na utumie elimu yako kutatua matatizo na sio migomo na jazba zisizokwisha.
   
 10. arawa

  arawa Member

  #10
  Jun 10, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  chuo UDOM kiko social kijana njie mmegoma siklu tisa hata mjumbe wa jumba kumi hajaja si tumegoma siku 3 serekali nzima imehamia social nakushauri ufanye utataifi sahihi
   
 11. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Swala zima ni kutotimiza kile kilichosababisha wanachuo wagome kipindi kile wakati wakimuhitaji waziri mkuu kwani kunabaadhi ya kozi mwaka wa pili walitakiwa kuende mafunzo ya vitendo pia kwa mwaka wa tatu ambao hawakwenda ila TCU wanasema uongozi wa chuo ndio haukupeleka na kwa sababu hiyo wataendelea kutokwenda field.
   
 12. W

  Wings Member

  #12
  Jun 10, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kama waziri(Kawambwa) alisema hiyo TCU iko chini ya wizara gani mbona wanapingana na agizo la waziri? Au ndio siasa katika masuala ya elimu?
   
 13. k

  kalechee Member

  #13
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we mwehu embu nikumbushe ule mgomo wa tareh 20 dec. Las yr ulikuwa wa college gani?
   
 14. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #14
  Jun 10, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  kwa hyo nyie mnashindana kugoma wakuu?
   
 15. Fungo N.

  Fungo N. JF-Expert Member

  #15
  Jun 10, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  arawa kweli unaukurutu kichwani sasa kama secretariate ilikuja mgomo wa nini hao wa COED waliogoma siku 9 sasa wana maji wamerudishiwa pesa zote zilizokuwa zimeporwa wana qualified lectrs field wanakwenda wale hawahitaji mwanasiasa kikubwa hapa acheni kushangaa majengo kujirusha 84 kujiona mpo juu kuliko wengine mi nawashauri mwende mkaanze 1st yr vyuo vingine au msome short programs kabla hamjaingia sokoni maana hamuuziki kabisa kwa sasa
   
 16. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #16
  Jun 10, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  leo ni cku ya kwanza ya mgomo kushinikiza serikali ibadili tamko lake kwani wakati chuo kikiwapangia sehemu za kufanya field ila cha kushangaza Waziri wa elimu Kawambwa akatoa tamko hao wanachuo wasiende field ndio maana wameamua kugoma kwani tayari alishapangiwa field iweje leo serikali isitishe?
   
 17. k

  kalechee Member

  #17
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  walim cjui wana matatzo gan?
   
 18. Mwakih

  Mwakih Senior Member

  #18
  Jun 10, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waalimu bwana wana matatizo by the way wanahic kama wanadharauliwa na wanafunzi wa social. Tusifikie huko udom wote ni kitu kimoja.
   
 19. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #19
  Jun 10, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,144
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  udom problemaaaa
   
 20. Fungo N.

  Fungo N. JF-Expert Member

  #20
  Jun 10, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kimsingi hakuna mgomo udom vjn jiaendaeni na ue mlikua wapi cku zote acha kushambulia waalimu nyie mnafundishwa na nani huko mgomo una hatua na sio kukurupuka kama CIVE huo sio mgomo ni riot take care na acha uchochezi but sory 4that
   
Loading...