Recent content by KALEBE

  1. K

    Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Pole sana kaka, hawa wanawake hata vitabu vya dini vilishasema ya kwamba, tunatakiwa kuishi nao kwa uangalifu wa hali ya juu
  2. K

    Most expensive schools in Tanzania

    Hiyo haijalishi, mbona kuna wale wanaosoma kwenye shule za kina kayumba lakini bado wanatisha
  3. K

    Most expensive schools in Tanzania

    Du, kwa namna hiyo tabaka la watawala na watawaliwa litaendelea kukua
  4. K

    Utabiri: Maono na mwenendo wa yatakayo tokea mwaka 2018 tukumbushane tukio moja moja kila litakapojiri

    Mbona naanza kuingiwa na uoga, jamani mengine msiwe mnasema, maana wengine roho zetu ni nyepesi sana
  5. K

    Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Kakobe huwa haungi mkono ujinga, kwa maana nyingine ni kwamba hapendi ujinga
  6. K

    Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Kwani kakobe kaomba umchague mbowe, au ndo uwezo wa kufikiria umefikia kiunoni
  7. K

    Sakata la Airtel: Mkapa, Mwandosya, Warioba na Chenge wataponaje?

    Chenge amepiga sana maisha nchi hii lakini kila mtego ukimetga anategua
  8. K

    Sakata la Airtel: Mkapa, Mwandosya, Warioba na Chenge wataponaje?

    Bwana mkubwa aliwahi kusema ya kuwa kuna makaburi mengine hayafai kuyafukua, maana ukithubutu kufanya hivyo utakutana na mambo mengine ambayo huwezi
  9. K

    Rais Magufuli anaenda tena kuua kampuni yenye ufanisi inayotoa ajira kwa maelfu ya watanzania?

    Ndo aina ya rais tuliyechagua kaka, kwa hiyo tuendelee kusikilizia vyovyote iwavyo
  10. K

    Mbunge wa Jimbo la Siha, Godwin Aloyce Mollel(CHADEMA) ajivua wadhifa huo na kuhamia CCM

    Kama hawa ndo aina ya wabunge tulionao, ni dhahiri shahiri ya kwamba safari yetu bado ndefu sana katika kufikia demokrasia ya kweli, swali dogo tu la kujiuliza ni je? Mbunge huyu hawezi kutekeleza au kuunga jitihada za magufuli akiwa ndani ya chama chake? Je kuna chama ambacho itikadi yake...
  11. K

    Maswali magumu shambulizi dhidi ya Mbunge Nassari

    Nenda kamuulize hayo maswali, humu hakuna nasari
  12. K

    Zitto: Tuliambiwa hostel za UDSM zimejengwa kwa bil 10 ila ripoti ya CAG inasema zimejengwa kwa bil 54. Uwongo! Uwongo!

    Hakuna namna yeyite ile ya kuficha ukweli, yote hayo wanayofanya yatafahamika tu siku moja. Kuna mwanafalsafa mmoja alipata kusema; Unaweza kudanganya watu wachache kwa wakati wote lakini huwezi danganya watu wote kwa wakati wote
  13. K

    Waliosoma kwiro boys high schools tukutane hapa

    Nimemaliza hapo mwka 2006, kwa sasa ni mkufunzi chuo cha ualimu morogoro
  14. K

    Je, Serikali imebadili Magari ya Wakuu wa Mikoa?

    Huyo jamaa anaweza hata kubandika plate number ya serikali kwenye nyumba yake, kwa hiyo usishangae kukuta namba ya serikali kwenye gari yake anayotembelea
Back
Top Bottom