Je, Serikali imebadili Magari ya Wakuu wa Mikoa?

Si kuna kipindi Askofu Gwajima alisema zero brain gari analotumia kamnyang'anya jamaa mmoja na kuweka namba za cheo chake?lbda ndio hiyo sasa!
 
Huyo jamaa anaweza hata kubandika plate number ya serikali kwenye nyumba yake, kwa hiyo usishangae kukuta namba ya serikali kwenye gari yake anayotembelea
 
Yeye kapewa atumie tu,wewe inakuwasha nini wakati pilipili haikuhusu
Chifu mbona hujajibu maswali yangu? Kuhusu protokali uliyoitaja na dhana ya kubana matumizi. Au kubana matumizi kupo kwa wengine tu?

Btw inanihusu kwa kuwa kodi zangu ndizo zinatumika kugharamia maisha hayo ya ufahari.
 
ungetusaidia kwa kutuambia kuwa ni sheria ipi iliyovunjwa hapo badala ya kutuuliza tena sisi, fauna hivyo ili kuokoa muda wetu na wako pia
 
Si kuna kipindi Askofu Gwajima alisema zero brain gari analotumia kamnyang'anya jamaa mmoja na kuweka namba za cheo chake?lbda ndio hiyo sasa!
Kinachofanya range rover ziwe chache mjini ni ushuru wake tu, huenda range rover hiyo imenunuliwa kwa jina la serikali ili kukwepa ushuru wa TRA ambao ni mkubwa lakini kumbe ni gari binafsi na inaweza kuwa ni biashara binafsi kwa kutumia ofisi ya umma.
 
The mere fact kila mtu alipoona gari lenye plate number za RC aijalishi liko wapi mtu kwa kwanza kufikiriwa ni makonda the kid has acquired taste in a very short space of time. Sijawahi kumuona Mwigulu wala Makamba in designer wear Makonda tayari that is becoming the norm.
Fake designer wears ni tell ya washamba.
 
Back
Top Bottom