Uzuri wa freedom of opinion allows one to opine the sky is green. Tatizo ni kwa yule atakayelichukulia hilo kama ni kweli na kweli tupu.
I respect your freedom of opinion, sir.
The Quill
Heri ya mwaka mpya wapendwa.
Kalamu Huru inaanza mwaka kwa masikitiko makuu. Mawaziri wetu mnatuangusha sana.
Ni juzi tu Rais amelalamika juu ya Airtel na Kanuni za Sheria ya Madini. Leo, eti, ndio mnaenda kuzipeleka....!! Kwa nini ilihitaji Rais kulalamika kwanza ndio mtende?
Kama...
Kimsingi, duniani kote, siasa zina fitna. Chama Tawala hufanya fitna ili kudumaza Upinzani na chama Pinzani chatakiwa kubuni mbinu mbadala kila uchwao kuhakikisha hakinaswi katika fitna za chama tawala. Ndivyo ilivyo duniani kote, wanatofautiana mbinu tu. Kwa kila chama, watafanya kulingana na...
Wasalaam,
Kalamu huru imevutika kuandika kidogo kuhusu mjadala wa muda mrefu wa Lowasa kuhamia CHADEMA.
Ikumbukwe kuwa, ni haki ya kikatiba kila mwananchi kujiunga au kuachana na chama chochote cha siasa. Hivyo, kuhama chama kwa kwenyewe, sio tatizo.
Kikubwa, tunaamini anajiunga kwa kuwa...
Wasalaam...!!
Nililisikia tamko la Mwenyekiti wa Chama kuhusu kujitoa katika Uchaguzi wa marudio. Mara moja nikaona ni kosa kubwa. Sikutaka kuliandikia mapema ili walau kuona watu wengine katika uhuru wao wa maoni watalichukuliaje.
Baadhi, kama mimi, hata wanachama kindakindaki wameonyesha...
Kama mkipata ajali msilalamikie mwendo kasi ilhali mnaupenda kwa kiwango hiki. Pokeeni maumivu na mateso yake kwa namna hii hii mpendayo mwendokasi.
The Quill.
Wasalaam,
Mwalimu Nyerere alikuwa mtu mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri. Hilo halina ubishi.
Katika tafakari yake, aliandika ili nchi iendelee inahitaji mambo makuu manne (4) ambayo ni;
1. Watu
2. Ardhi
3. Siasa safi
4. Uongozi bora.
Ni wazi nchi yetu pamoja na kufanya jitihada kubwa kupata...
Nachelea kusema, na ukirejea andiko langu la 'Mustakabali wa Upinzani Nchini", kuwa hivyo ni visingizio tu na havina afya kwa upinzani wetu.
Hali ya maisha imekuwa duni daima. Bado walishinda. Dawa zilikuwa hazitoshelezi. Walishinda. Elimu i duni pia. Walishinda. Wameboma Kimara juzi tu...
Salamu...!!
Kalamu Huru imepokea taarifa zoeleka kuwa Mbunge wa Kinondoni amejizuru nafasi yake ya Ubunge na nafasi zote ndani ya Chama chake CUF na kujiunga na CCM ili kumuunga mkono Mhe. Rais. Huu umekuwa ni mtindo wa kawaida na unazidi kuzoeleka kwa kasi katika saisa ya nchi yetu.
Lakini...
Salamu..!!
Kwa muda mrefu nimefuatilia kwa mbali mwenendo wa siasa nchini mwetu. Nimesikia na hata kushuhudia Chama Tawala CCM kinavyofanya kila namna kuufifisha upinzani nchini. Na nimesikia namna upinzani unavyolalamikia jambo hili.
Siku za karibuni umefanyika Uchaguzi katika kata 43 na sote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.