Kiukweli nikiliangalia baraza la mawaziri nawaona na kuwasikia mawaziri wawili tu wakichapa kazi nao ni Prof Kabudi na mwenzie Prof Mbarawa na kidogo Ummy Mwalimu. Maadam komredi Kinana ameendelea na nafasi yake Katika chama namuomba aliangalie hili, maana kwa mbaaali naisikia harufu ya mawaziri mizigo. Yangu ni hayo wewe je unasemaje?!!
Uzuri wa freedom of opinion allows one to opine the sky is green. Tatizo ni kwa yule atakayelichukulia hilo kama ni kweli na kweli tupu.wewe ni mjinga
huyu bwana maigizo hujamjua tu..kabla ya kufanya sinema zake in public huwa anakuwa ashapelekewa kazi zote na zinakuwa zimekamilika
anachofanya ni kuwabdilikia ili ionekane hawajatimiza wajibu ila yeye ndio mchapakazi kawafokea ndio wamefanya ili aonekane jembe
nakusikitikia kama hujamjua hadi sasa
haya bwanaHeri ya mwaka mpya wapendwa.
Kalamu Huru inaanza mwaka kwa masikitiko makuu. Mawaziri wetu mnatuangusha sana.
Ni juzi tu Rais amelalamika juu ya Airtel na Kanuni za Sheria ya Madini. Leo, eti, ndio mnaenda kuzipeleka....!! Kwa nini ilihitaji Rais kulalamika kwanza ndio mtende?
Kama asingelalamika, mngekuwa kimya tu??? Tumsaidie Rais kwa kuwa pro-active.
Mawaziri wetu
MNATUANGUSHAAAAAAA......!!!
The Quill.
Natoa tu angalizo, kama waziri unaona kasi yako ni ndogo kuhimili mikikimikiki ya kutekeleza majukumu ya serikali ya awamu ya 5 ni vema ukapisha wenye kumudu kasi. Haiwezekani kila siku lazima mkumbushwe majukumu yenu, ilianza kwa Mwijage ikaja kwa waziri wa madini, juzi kati hapa waziri wa kilimo hadi imebidi Waziri mkuu aingie kumsaidia kazi ya kusafirisha pembejeo. Haya leo tena Ndalichako na Jaffo hadi taarifa za malalamiko ya watoto kuchangishwa zinamfikia mkuu wa nchi nyie mko wapi?......na mnafanya nini?!! Pale ununio shule ya msingi kwa mfano, mwalimu mkuu kajenga flemu za biashara na hela inaingia kwenye acvount yake binafsi lakini afisa elimu manispaa kalala usingizi wa pono kabisa. Jamani mnamchosha sana Rais wetu kwa huko kuzembea zembea kwenu, aaah hata mimi mnanichosha bhana. Ni hayo tu, usiku mwema!

Nenda na weweNatoa tu angalizo, kama waziri unaona kasi yako ni ndogo kuhimili mikikimikiki ya kutekeleza majukumu ya serikali ya awamu ya 5 ni vema ukapisha wenye kumudu kasi. Haiwezekani kila siku lazima mkumbushwe majukumu yenu, ilianza kwa Mwijage ikaja kwa waziri wa madini, juzi kati hapa waziri wa kilimo hadi imebidi Waziri mkuu aingie kumsaidia kazi ya kusafirisha pembejeo. Haya leo tena Ndalichako na Jaffo hadi taarifa za malalamiko ya watoto kuchangishwa zinamfikia mkuu wa nchi nyie mko wapi?......na mnafanya nini?!! Pale ununio shule ya msingi kwa mfano, mwalimu mkuu kajenga flemu za biashara na hela inaingia kwenye acvount yake binafsi lakini afisa elimu manispaa kalala usingizi wa pono kabisa. Jamani mnamchosha sana Rais wetu kwa huko kuzembea zembea kwenu, aaah hata mimi mnanichosha bhana. Ni hayo tu, usiku mwema!
Kama huna habari, hizo ni tuition za push up!Natoa tu angalizo, kama waziri unaona kasi yako ni ndogo kuhimili mikikimikiki ya kutekeleza majukumu ya serikali ya awamu ya 5 ni vema ukapisha wenye kumudu kasi. Haiwezekani kila siku lazima mkumbushwe majukumu yenu, ilianza kwa Mwijage ikaja kwa waziri wa madini, juzi kati hapa waziri wa kilimo hadi imebidi Waziri mkuu aingie kumsaidia kazi ya kusafirisha pembejeo. Haya leo tena Ndalichako na Jaffo hadi taarifa za malalamiko ya watoto kuchangishwa zinamfikia mkuu wa nchi nyie mko wapi?......na mnafanya nini?!! Pale ununio shule ya msingi kwa mfano, mwalimu mkuu kajenga flemu za biashara na hela inaingia kwenye acvount yake binafsi lakini afisa elimu manispaa kalala usingizi wa pono kabisa. Jamani mnamchosha sana Rais wetu kwa huko kuzembea zembea kwenu, aaah hata mimi mnanichosha bhana. Ni hayo tu, usiku mwema!