Recent content by kalambas

  1. K

    JamiiForums Tanzania Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

    Wadau mliofanikiwa kupata majina ya waliochaguliwa kujiunga elimu ya juu tuwekeeni lingi
  2. K

    JamiiForums Tanzania TCU majina ya wanaojiunga na elimu ya juu yatatoka lini?

    Kweli tumechoka kusubiri hiyo list yenu mtoe Majina
  3. K

    JamiiForums Tanzania Lema, Nassari na Bush na viongozi wa wilaya Arusha na Arumeru wamekamatwa, haijulikani walikofichwa

    Maandamano yataendelea hata Lema Nasary wawepo wasiwepo Taupo tayari kwa kila jambo
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya ACT-Tanzania Arusha yavunjwa na kuibiwa vifaa

    ACT Arusha hawapo wapo wahuni Fulani wanaopita mtaani na kudanganya kuwa wao ni ACT hata hawawezi kujitokeza kama chama cha siasa. Kwa maana hiyo wamevunja hilo jengo wenyewe ili wasingizie kuwa kuwa wameibiwa hafu kwanini kadi za chadema tu wa aruumeru neo ziibiwe? Halafu less huwa hatuachi...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM na Mjumbe wa Mkutano mkuu wilaya Ajiunga na CHADEMA Arusha

    Wengi watasema kuondoka kwake kanunuliwa la lini usemi huu; hatuna pesa hatunaa mahakama hatuna polisi hatuna vitisho ila Mungu,nfuvu ya Umma,na misingi thabiti ya uongozi katika kuwaondoa watanzania kwenye minyororo ya unyonyaji CCM. Karibu sana tuungane pamoja kwa ukombozi
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tamko kutoka Kigoma kuhusu kuondoka kwa waliokuwa viongozi wa mkoa wa CHADEMA

    Waondoke hakuna Baja ya kuendelea kuwa na viongozi walafi waende kwa zito Z Kabwe ameshaandaa vyeo vya kuwapa wasaliti wenzake ACT ina nafasi nyingi ikiwepo nafasi ya m/kiti wa chama na Katibu Mkuu maana ndo kiu yao.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Butiku aionya CCM kuelekea uchaguzi 2015

    Dhamani ya wazee kama akina Butiku sio kwa sababu ya swala nyeti lililoko mbele ya Watanzania la uwandikishwaji wa Katibu mpya' sio kwa kuwa si wanachama wa CCM Au CHADEMA la ni kwa sababu ya unyeti wao walioonesha katika majukumu yao walioonwsha ni katika kusikiliza maonu ya wananchi katika...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kagame: Kwanini nilimkasirikia Kikwete

    Tz. Yetu
  9. K

    JamiiForums Tanzania MBOWE mnatuharibia chama, chama kinazidi kupotea

    Mayanga. Kama unakerwa na chadema hama nenda sisiem ingawa tunakujua kuwa we ni mwanachama Hali wa magamba hi yo tapatapa ukichoka tuachie nafasi tuendelee kuwa ma Mbowe
  10. K

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya Ardhi yaibuka tena Loliondo

    Meru moja unaelekea unataarifa za uhakiki kuhusiana na jambo husika tunaomba taarufa kamili, n@ kama umesom@ taarifa niliyoandika nimeleta jinsi tasrifa ilivyonifikia na wala sijui kilianzia na kilipoishia. Sijui pia unamaanisha nini kusema nataka kuwachingsnisha viongozi wepe, swala ni kwamba...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya Ardhi yaibuka tena Loliondo

    Si swala la viongozi pekee ila jamiiisikubali kufarakanishwa kwa maslahi ya viongozi wanaolenga kutafuta umaharufu usio rafiki na maendeleo ya wananchi.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya Ardhi yaibuka tena Loliondo

    Huu ni mgogoro wa ardhi baina ya vijiji viwili vinavyopakana kijiji cha Arash kata ya Arash na kijiji cha pilaya kata ys malambo. Kwa taarifa zilizotufikia ni kwamba wananchi wa vijiji husika waliingia kwenye migogoro hiyo siku mbili zilizopita. Wanakijiji wa piyaya kwa msafara mkubwa zaidi...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge na mawaziri wenye vyeti feki watajwe.

    Dk shukuru Kawambwa Chiza,Mwigulu Nchemba
  14. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya baadhi ya wajumbe wa Baraza Kuu na Mkutano Mkuu CHADEMA

    Wote hao vijana wa lumumba.com
  15. K

    JamiiForums Tanzania Yamemkuta Lissu: Kushtakiwa na mtoto wa Hanga kwa udanganyifu!

    Tangulia. Huko tutaukuta njiani
Back
Top Bottom