Mbona unakosa heshima wewe?Hivi unawezaje kumdharau mzee kama Butiku kwa kumwambia akalale kisa ameongea busara na maoni yake kuhusu mwelekeo wa siasa za CCM.Kwanini mnalewa kiasi hicho?Butiku penngine ni baba yako,hata pengine babu yako,lakini kwa kulewa sifa na posho za kifisadi uko radhi hata kumtukana au kumdhihaki kama ulivyofanya.Lakini sishangai,kuna mmoja wenu aliwahi hata kumdhihaki waziri mkuu mstaafu mzee jaji Warioba kwa kumwita mpumbav, kwenye radio moja hapa jijiini kisa tu baba anamadaraka makubwa.
Kwa sababu sera za ccm hazisaidii sasa mwananchi wa kawaida,....KWANINI bUTIKU ANATOA SIRI HIYO?
huyu sasa kaisha kisiasa akalale