Recent content by kalagabaho

  1. kalagabaho

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kahawa na kashata

    Yeah..ile biashara haihitaji aibu, kijiwe chake kilikuwa kituo cha basi ila sasa kimeondolewa baada ya ujenzi wa mwendo kasi.... Mbona kawaida sana hiyo.. kuna mhindi kule town ameajiri watu wanauza mihogo ya kukaanga pale chini ya apartment yake . Kila kipande 500 na foleni yake balaa. yeye...
  2. kalagabaho

    JamiiForums Tanzania Tumshukuru Mungu kwa kila jambo...

    Oyaa look at me!..... UKISIKIA DAR MPAKA MORO NDIO HIYO SAAA !
  3. kalagabaho

    JamiiForums Tanzania Kisa cha kusikitisha cha Krepin Diatta

    Sasa na yeye aoe mzungu kutukata ngebe na kilimi limi
  4. kalagabaho

    JamiiForums Tanzania Jose Chameleon ndiye msanii bora wa muda wote wa Afrika Mashariki

    Ten years back! ila now Keshaachwa mbali sana na Domo
  5. kalagabaho

    JamiiForums Tanzania Irene Uwoya afanya sherehe ya milioni 100 ya kipaimara cha mwanaye

    Astaghfilullah
  6. kalagabaho

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kupata mtoto mchanga ukiwa umri wa kustaafu, unakuwa ni Baba Babu. Dawa ni kujipanga kabla, vinginevyo ni kubebesha watu mizigo yako

    Ha haa! We mzee unatoa shule Ha ha haa!.. nilichojifunza we mzee umejipanga watu wana ku criticize humu kwa wivu tu!.. Asante kwa shule ya mahusiano, malezi, uwekezaji, masomo, mapenzi etc. HAPPY BIRTHDAY MWANAHABARI USIE NA KINYONGO
  7. kalagabaho

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia aliamua kujibu hivi kuhusu Katiba Mpya?

    We una uhakika Kikeke ni Mtanzania?.. ameambiwa mambo ya watanzania awaachie watanzania wenyewe..
  8. kalagabaho

    JamiiForums Tanzania Kwa Utaita wote ule hivi ndivyo Sugu anavyorusha ngumi? Ni umri au kukosa muda wa mazoezi?

    Hivyo vimikono anavyotupa utadhani LAVALAVA
  9. kalagabaho

    JamiiForums Tanzania Je ramadhan singano alirogwa na makomando wa simba?

    It simply means Yanga won the Morrison case!
  10. kalagabaho

    JamiiForums Tanzania Ramadhan Kabwili: “Simba walinifuata, nitafute kadi ya njano, wanipe IST mpya”

    Kabwili ushapata meneja wa kukupeleka ulaya?
  11. kalagabaho

    JamiiForums Tanzania Zainab Abdalah, shemeji wa Haji Manara na mkuu wa wilaya ya Pangani kumbe ni mke wa Waziri wa Maji?

    Kwa hiyo alikuwa kiongozi asiye na akili au?
  12. kalagabaho

    JamiiForums Tanzania Rihanna amuongezea umaarufu Flaviana Matata

    Huyu kipalangoto nae atafute cha kufanya umri ushaenda .. kwa uzuri upi kwanza?.. hao wazungu wanampumbaza tu
  13. kalagabaho

    JamiiForums Tanzania Lupita Nyong'o ameanza kuunyemelea usagaji

    Dah halafu nilikuwa nakupendaga wewe kumbe una type zako
  14. kalagabaho

    JamiiForums Tanzania Weinstein alitaka kulala na Lupita Nyong'o

    Sasa anajidhalilisha mwenyewe kijinsia
  15. kalagabaho

    JamiiForums Tanzania Lupita Nyong'o ameanza kuunyemelea usagaji

    Hapa bila shaka hujaniuliza mimi
Back
Top Bottom