Recent content by kakuruvi

  1. kakuruvi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

    Rangi ya Chungwa
  2. kakuruvi

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Malipo kutoka Mifuko ya hifadhi ya Jamii

    Asante
  3. kakuruvi

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Malipo kutoka Mifuko ya hifadhi ya Jamii

    Hatari, nilijua kuna faida itaongezeka kama motisha ya kuwa mwanachama
  4. kakuruvi

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Malipo kutoka Mifuko ya hifadhi ya Jamii

    Wadau wa jukwaa salamu! Nawasilisha swali langu hivi, kama mfanyakazi ameachishwa kazi lakini hajafikisha vigezo vya kulipwa pensheni je atalipwa tu malipo aliyochangia au atapewa na faida kulingana na michango aliyochangia? Asanteni, nawasilisha
  5. kakuruvi

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kumripoti Wakili tapeli kwenye Vyombo vya Sheria?

    Habari Wana JF! Naomba kufahamishwa ikiwa Wakili umemkabidhi fedha na hakukamilisha fedha uliyompa unawezaje kumshitaki na mahali gani unapoweza kumshitaki? Na je ukimpa kazi mtu mtu anayejinasibu kwamba ni Wakili lakini bado hajakuwa Wakili unaweza kumripoti wapi? Nawasilisha
  6. kakuruvi

    JamiiForums Tanzania Serikali iwakumbuke wastaafu

    Nimeshindwa kuambatanisha hapa video ya Mheshimiwa Bulaya akichangia mada Bungeni kuhusu kikokotoo cha wastaafu
  7. kakuruvi

    JamiiForums Tanzania Serikali iwakumbuke wastaafu

  8. kakuruvi

    JamiiForums Tanzania Serikali iwakumbuke wastaafu

    Wabunge wenyewe hata hawana time na mada kama hizi
  9. kakuruvi

    JamiiForums Tanzania Serikali iwakumbuke wastaafu

    Habari Wana JF, Juzi kwenye hotuba ya bajeti ya Serikali iliyosomwa na Waziri wa fedha, Waziri alitamka kufahamu kwamba kufuatia kutokuwepo kwa ajira za moja kwa moja kwa Wahitimu, Wazazi wamekua wakibeba mzigo mkubwa wa familia zao. Kwa kulitambua hili naomba Serikali kuwezesha upatikanaji...
  10. kakuruvi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kumbuka Fao la Kujitoa

    Kama JF tungekua tunabadilishana maarifa mawazo na maarifa kwa mabandiko kama hili nahisi pamoja na mengine tungepata baraka pia. Hongera mleta bandiko.
  11. kakuruvi

    JamiiForums Tanzania Je hii ni tabia ya Mwanasiasa?

    Mbona umetaja CCM tu kwani CCM ndio ina Wana siasa pekee?
  12. kakuruvi

    JamiiForums Tanzania Je hii ni tabia ya Mwanasiasa?

    Nimeguswa sana na mchezaji nguli wa Senegal Saido Mané kwa kulipia watu wa Taifa lake wa kipato cha chini ticket ya ndege na malazi kwenda kushuhudia fainali za kombe la AFCON tena kwa gharama kutoka mfukoni mwake. Nimependa hii na namuomba Mungu japo niifanyie kwa kiwango cha mbali yetu na...
  13. kakuruvi

    JamiiForums Tanzania Dr. Tulia ningekushangaa kama usingechukua fomu ya kuwania Uspika wa Bunge

    Mchicha umekuwa Mbuyu kamili, Hongera Dr.Tulia
Back
Top Bottom