Je hii ni tabia ya Mwanasiasa?

Je hii ni tabia ya Mwanasiasa?

kakuruvi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2009
Posts
770
Reaction score
259
Nimeguswa sana na mchezaji nguli wa Senegal Saido Mané kwa kulipia watu wa Taifa lake wa kipato cha chini ticket ya ndege na malazi kwenda kushuhudia fainali za kombe la AFCON tena kwa gharama kutoka mfukoni mwake.
Nimependa hii na namuomba Mungu japo niifanyie kwa kiwango cha mbali yetu na wakaribu nitakaofanikiwa kwa uwezo wangu.

Swali kwenu Wana JF je, wanasiasa wetu Wana tabia kama hiyo?
 
Mane ni philanthropist ,anapenda na kujali watu.Mtu wa hivi huwezi kumkuta ccm
 
Back
Top Bottom