Recent content by kakis

  1. K

    JamiiForums Tanzania Rais Wa awamu ya sita atakuwa na kibarua kizito.

    Ha ha Haa wateuliwa wake tu Viatu vimewapwelepweta,
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nilimfumania, sasa ananitishia kuniua

    Yeah,wenyewe miili yao inawaongoza kuliko akili
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Mie ushauri wangu nenda hospital,fungus ziko za aina nyingi hivo unaweza tumia dawa ulotajiwa ikakusaidia kidogo na fungus ikajirudia baada ya muda au isikusaidie kabisa,so nenda hospital wanaweza Fanya culture wakajua dawa ya kukutibu wewe moja kwa moja
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nilimfumania, sasa ananitishia kuniua

    Pole dia,wanaume Hawa ni wakuishi nao kwa akili sana
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nimesitisha kumuombea Rais

    Tuiombee nchi yetu bila kukata tamaa,tukikata tamaa itaenda mrama zaidi ya hapa.miaka kumi mingi eti
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nimejisikia uchungu mkubwa, sababu nafahamu historia ya Mradi wa Hospitali ya Mama na Mtoto Arusha

    Mshaambiwa vyama vngne hatoruhusiwa mtu kunusa
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakamani: Scorpion afutiwa shtaka unyang'anyi wa kutumia silaha na kujeruhi

    Shitaka la scorpion limefutwa,baada ya upande wa mashtaka kufuta kesi
  8. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu vyuo vitano bora vya afya hapa Tanzania

    Sie hatukua kwenye hivo best but ajira zilitoka zenyewe na mishahara ni sawa na wa MUHAS
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Nitaifikisha serikali ya Rais Magufuli mahakamani

    Hii nchi too much kwa vimbwanga
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

    Ha ha haaa
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa mikoa/wilaya wanaofanya vizuri katika Awamu ya Tano

    Ha ha haaa
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Magufuli, nani alisaini "please pay" ya Posho za wakuu wa mikoa? Nani anapaswa kuwajibika

    Ha ha haaa kakumbuka shuka kumekucha
  13. K

    JamiiForums Tanzania RC Makonda amuwezesha Said alietobolewa Macho na Scorpion Bodaboda, Bajaj na Nyumba

    Angalau naweza now kujitapa Nina Rc anayetujali watu wake,be blessed Mr makonda
Back
Top Bottom