Naomba kufahamu vyuo vitano bora vya afya hapa Tanzania

Kila Chuo ni bora kwa namna yake na pia nimeshawahi kupata habari Kuwa Kuna baadhi ya vyuo department baadhi zinatisha aseeh Mfano KCMC wanadai Orthopaedic&ENT Jamaa wako Vizuri upande wa CUHAS internal medicine gynacology obstetrics ni hatariii Huku wakuu MUHAS wakadai karibia Kila department wako njema japo wanasema Kuwa mazingira yao katika kujifunza yanaitaji userious sana ila Mkuu Chuo ni km daraja tu ubora wa mtu ni kujituma tu kujua mambo tumia muda na raslimali zilizopo Vizuri tu Bhasss utakuwa bora tu!!! Jina sio chochote!!!!
 
Point
 
Go east,go west but MUHAS is still the BEST

Let the haters hate don't debate tell them MUHAS is the BEST

MUHAS i love you...........................
 
Unakosea mie sikuuliza muhas., nimeuliza vyuo vitano bora vya afya

By the way muhas ni best lakini punguza misifa
 
Kila Chuo ni bora kwa namna yake na pia nimeshawahi kupata habari Kuwa Kuna baadhi ya vyuo department baadhi zinatisha aseeh Mfano KCMC wanadai Orthopaedic&ENT Jamaa wako Vizuri upande wa CUHAS internal medicine gynacology obstetrics ni hatariii Huku wakuu MUHAS wakadai karibia Kila department wako njema japo wanasema Kuwa mazingira yao katika kujifunza yanaitaji userious sana ila Mkuu Chuo ni km daraja tu ubora wa mtu ni kujituma tu kujua mambo tumia muda na raslimali zilizopo Vizuri tu Bhasss utakuwa bora tu!!! Jina sio chochote!!!!
Kweli kabisa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom