Recent content by Kakira

  1. Kakira

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Klabu ya Yanga imemtaka Ahmed Ally kuomba radhi kwa matamshi wanayodai yameichafua klabu yao (Yanga) na wanadai fidia ya Tsh Bilioni 10

    Nadhani matamshi ya msemaji wa Yanga na ya msemaji wa Simba yote ni katika hali ya utani. Ni bora kila upande usamehe na maisha ya soka yaendelee.
  2. Kakira

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeachwa na mtu ninayempenda sana, nimeshindwa kukubaliana na hali

    Jaribu kukumbuka mabaya yake yote.
  3. Kakira

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwenye ukimya kuna ujumbe umejificha, jitahidi uutafute

    Hakika kabisa.
  4. Kakira

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaniuliza nimempendea nini na yeye siyo mzuri, nachomokaje hapa?

    Kila mtu atampata wa kwake.
  5. Kakira

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matamshi ya alama

    Katika matumizi ya simu tunakuta alama: * inatamkwa nyota. # inatamkwa alama ya reli. Kwanini * isitamkwe alama ya nyota sababu sio nyota kihalisia.
  6. Kakira

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atengua Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya za Temeke na Kilindi

    Kabisa, hata Gerald Kusaya alipelekwa Katibu Tawala mkoa wa Rukwa.
  7. Kakira

    JamiiForums Tanzania Leo ndiyo nimekubali kwamba kikulacho ki nguoni mwako

    Jitahidi apate taarifa ya kwamba siku hiyo alivyokuja kueleza shit zote, Basi ajue kuwa ulikuwepo ndani na umesikia alivyosema.
  8. Kakira

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama UKIMWI wa 2005 kurudi nyuma ungekuepo sasa, hali ingekua mbaya sana

    Kama ukimwi huo @ AIDS wa mwaka 2005 kurudi nyuma ungekuwepo, Basi mpaka sasa kungalikuwa hakuna hata mgonjwa Wala anayetumia ARV's
Back
Top Bottom