Ama kweli Tanzania kuna watu na viatu? Proud to be Tanzanian then unatetea ufisasi? Au nawewe ni jipu linalosubiri kutumbuliwa. Watoto hawana madawati, walimu hawana nyumba, vitabu havitoshi, wagonjwa wanalala chini, dawawa na vifaa tiba havitoshi, barabara hazipitiki maeneo makubwa ya nchi...
Nashukuru kwa kuweza kuleta taarifa muhimu lakini nadhani ina mapungufu maana imeonesha kazi za Katibu mkuu kiongozi lakini hujaonesha za waziri mkuu. Mie nadhani kwa kutumia logic tu, nadhani uwiano wa madaraka yao nisawa naule uliopo kati ya waziri na katibu wa wizara husika ambapo waziri ni...
Mleta mada nashukuru kwa uzi mzuri. Watz wote wanaopenda mabadiliko bila kujali yanatoka ndani ya CCm au nje ya CCM tunasikitishwa na kuona mfumo wa wakumbatia ufisadi unataka kuendelea kutufanya wanachi kuendelea kuisoma namba ya UFISADI wakati uchaguzi ulopita ulimaanisha CHANGE from within or...
sasa hii no. Siielewi kabisa maana sijui ni ya kichina! Maana sio shufwa, witili wala tasa! Imekuja kivingine! Mwenye kioo hem anisaidie labda nitaielewa lkn kweli hapa kazi tu. We wa musoga umeanza kuisoma. Bado kubisha hodi kwako.
Ndg, mie bado sijaona athari yeyote. Labda niulize kama kuna mtu kati yenu mloathirika alijaribu kusugua sana kidole kilichopakawa hio rangi? Au mna mzio na hio kemikali? Tupeane updates ili nasi ikitukuta tujue nini la kufanya.
Bujonde ni kuzuri sana zaidi ya beach yeyote upande wa Kyela. Kila anaefika hushangaa kwanini watu hawakuwekeza Bujonde kama ilivyokuwa Matema. Mie nadhani ni kwasababu tu Wamisionari (Missionaries) waliwahi kufika huko na kujenga kanisa na hospitali ndo maana kukawahi kuchangamka na kufahamika...
Kiwanja cha first beach kinauzwa. Kina upana wa mita 98 na urefu wa mita 120 kuanzia kwenye maji kuingia nchi kavu.
Ni beach ya mchanga na kina chake kinaongezeka taratibu sana kiasi kwamba hata mtoto mdogo anaweza kuogelea kwa usalama kabisa.
Kina view nzuri za safu za milima ya Livingstone...
Bei ni 30M lakini kwa alie serious kutakuwa na maongezi hadi tutafikia maelewamo. Panda hewani au text no. +255 688 494 920. Kwa alie dhani kuna mamba hajui kuwa mamba huishi mitoni na si ziwani. ziwani wanaweza kupita tu (tena usiku so kawaida kuwaona ziwani mchana) lkn so makazi yao hivyo...
Kipo Bujonde. Ukiwa bandari ya kiwira, unavuka mto kiwira tu na tayari unakuwa umefika eneo lenyewe. Amini usiamini, nizuri zaidi hata ya lile la Mwamyange. Any one who has ever been there, knows-it is the best of all beach along Lake Nyasa on the Kyela side.
Kiwanja cha first beach kinauzwa. Kina upana wa mita 98 na urefu wa mita 120 kuanzia kwenye maji kuingia nchi kavu.
Ni beach ya mchanga na kina chake kinaongezeka taratibu sana kiasi kwamba hata mtoto mdogo anaweza kuogelea kwa usalama kabisa.
Kina view nzuri za safu za milima ya Livingstone...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.