Mpaka hapa Dr. Slaa kubali kuwa Lowassa ni ASSET

Ni Asset? Unajua ilisemwa anakuja na Wabunge wangapi? Mpaka sasa hata wale wa kufa kupona wanagombea huko CCM ....unajua nguvu kubwa inayotumika kupangua hoja za ufisadi kuliko kunadi ilani ya Chadema? Hivi nyie mashabiki mnaijua hata hiyo ilani japo kidogo? Bora hata magufuli anatembea nayo na kuinadi .....Hivi unaamini idadi ya mahudhurio kwenye mikutano ndio kura? Pengine hukujua nini kilitokea kwa Mrema na hata Dr Slaa mwaka 2010 .....huu uchaguzi tunapoteza vibaya hadi level ya ubunge (mark my word) ....hatuna hoja nzito zaidi ya kuaminisha watu kuichoka tu CCM tena kazi hiyo ikifanywa na akina Sumaye ......Aibu tu ....

Kuna asset moja mpya; ya watu kuzimia kwenye mafuriko ya Lowassa ha ha ha.
 
UKAWA mwaka huu wakijitahidi sana watapata 28% ya Kura zote. Watabaki WAKIWA ndipo waanze kumtafuta MCHAWI!

mkuu siasa ni watu, kama ilani ndo ushindi chadema au Cuf wamekuwa na ilani nzuri tu lakini hawajahi kufikisha asilimia 30 ya kura za urais, mwaka huu hali ilikuwa inaelekea kuwa mbaya zaidi lakini kwa sasa nchi ina mwamko mpya, unataka asset ipi zaidi ya hii ya chama kupata nguvu kwenye mioyo ya wananchi?
 
Hakuna asset ambayo hata kujieleza haiwezi, huyo Lowasa ni Liability tu.
 
Lile sharti lako kwa Lowasa kuwa aje na watu, wewe ukaona hana watu, ukatoka UKAWA limedhihirisha kwamba utafiti wako unaojikweza nao haukufanyika kiweredi maana watu aliokuja nao ni zaidi ya ukiokuwa nao. Nadhani mfuriko unayaona. Lakini hebu fikiria mzizi wa CCM kwenda UKAWA na kusema Peopleeeeeees! unadhani CCM itendelea kuota au ndo hivyo inakauka. Kungunge jembe!, uzee wa mwili ni issue nyingine, kichwa bado kiko fit. Mods acha ushabiki, kuna gamba linaondoa hoja zetu.

Mkuu kweli kabisa mzee kingunge ndio tayari amesha washa green light ya ushindi kwa cdm
 
mkuu siasa ni watu, kama ilani ndo ushindi chadema au Cuf wamekuwa na ilani nzuri tu lakini hawajahi kufikisha asilimia 30 ya kura za urais, mwaka huu hali ilikuwa inaelekea kuwa mbaya zaidi lakini kwa sasa nchi ina mwamko mpya, unataka asset ipi zaidi ya hii ya chama kupata nguvu kwenye mioyo ya wananchi?

Kweli kabisa na watu wa ccm hawataki kukubali ingawa mioyoni mwao wanalijua hilo kuwa mwaka huu nchi ndio inaenda kuongozwa na mikono salama chini ya lowasa
 
Attachments

  • 1444713834035.jpg
    1444713834035.jpg
    23.7 KB · Views: 226
Kuna watu hawaelewi nini maana ya Assets
Je Kati ya wananchi na wabunge ni nani asset kati yao!??
 
Kaja na mashabiki kibao karibia 5milions hata wale ambao hawana chama. Waccm pia sasa alitaka nini zaidi
 
Slaa alistahili kujua zipo assets za aina 2 liquid na solid. Lowasa kaleta assets zote 2 na slaa asingeweza. I mean money speaks.
 
Kuna bango nililiona limeandikwa hivi
LOWASA ni FISADI sawa tunakubali
LOWASA ni MGONJWA sawa tunakubali
LOWASA anayosema yote hatotekeleza tunakubali kashfa zote hizo sisi
ILA WATANZANIA ADUI YETU NI CCM
HIVYO AKIWEZA KUTUSAIDIA KUITOA
CCM MADARAKANI BASI AKIINGIA IKULU
HATA ASIFANYE KAZI YEYOTE KWA MIAKA 5 SAWA TU TUNAKUBALI APUMZIKE TU KWA KAZI KUBWA YA KUITOA CCM AMBAYO VYAMA VYA UPINZANI VIMESHINDWA KWA MIAKA 20.
 
Slaa alistahili kujua zipo assets za aina 2 liquid na solid. Lowasa kaleta assets zote 2 na slaa asingeweza. I mean money speaks.

Nyie wote hamumjui Lowasa ndio maana mnatoka mapovu sasa subirini uchaguzi upite na matokeo yatoke mshindi ni Magufuli hapo ndipo mtakapojua maharage ni mboga atakapo waachia lichama lenu likiwa limekufa
 
Ni Asset? Unajua ilisemwa anakuja na Wabunge wangapi? Mpaka sasa hata wale wa kufa kupona wanagombea huko CCM ....unajua nguvu kubwa inayotumika kupangua hoja za ufisadi kuliko kunadi ilani ya Chadema? Hivi nyie mashabiki mnaijua hata hiyo ilani japo kidogo? Bora hata magufuli anatembea nayo na kuinadi .....Hivi unaamini idadi ya mahudhurio kwenye mikutano ndio kura? Pengine hukujua nini kilitokea kwa Mrema na hata Dr Slaa mwaka 2010 .....huu uchaguzi tunapoteza vibaya hadi level ya ubunge (mark my word) ....hatuna hoja nzito zaidi ya kuaminisha watu kuichoka tu CCM tena kazi hiyo ikifanywa na akina Sumaye ......Aibu tu ....

Kweli fikra zako zimechoka. kwani ukawa tunahitaji idadi ya wabunge ambao angekuja nao kutoka ccm au tunahitaji watu? hao wabunge ndio wangepiga kura? Chadema si ilikuwa na wagombea tayri? Asset kisiasa ni watu. Na nadhani mpaka sasa mmeona watu wanaomfuata Lowasa haikuwahi kutokea katika historia ya vyama vingi Tz.
 
Ni Asset? Unajua ilisemwa anakuja na Wabunge wangapi? Mpaka sasa hata wale wa kufa kupona wanagombea huko CCM ....unajua nguvu kubwa inayotumika kupangua hoja za ufidsadi kuliko kunadi ilani ya Chadema? Hivi nyie mashabiki mnaijua hata hiyo ilani japo kidogo? Bora hata magufuli anatembea nayo na kuinadi .....Hivi unaamini idadi ya mahudhurio kwenye mikutano ndio kura? Pengine hukujua nini kilitokea kwa Mrema na hata Dr Slaa mwaka 2010 .....huu uchaguzi tunapoteza vibaya hadi level ya ubunge (mark my word) ....hatuna hoja nzito zaidi ya kuaminisha watu kuichoka tu CCM tena kazi hiyo ikifanywa na akina Sumaye ......Aibu tu ....
sumaye ndio anaefaa kuaminisha watu kuwa ccm imechoka kwa sababu aliye ndani ya ndoa ndiye anaefaham matatizo ya ndoa hiyo. kwa hivyo sumaye anatuambia kuwa ccm imechoka na imeshapoteza muelekeo ni rahisi kuamini coz yeye alikua ndani ya hiyo ccm. kwa upande wa kuinadi ilani chadema ni bora zaidi kuliko ccm. kazi kubwa ya ccm ni kumshambulia lowassa. na hicho ndio kinachowaharibia zaid wanaonekana hawajui siasa za kistaarabu.
 
Nyie wote hamumjui Lowasa ndio maana mnatoka mapovu sasa subirini uchaguzi upite na matokeo yatoke mshindi ni Magufuli hapo ndipo mtakapojua maharage ni mboga atakapo waachia lichama lenu likiwa limekufa
hatumjui hebu tueleze kidogo bac ili na sisi tupate kumfahamu. tafadhali
 
Ni Asset? Unajua ilisemwa anakuja na Wabunge wangapi? Mpaka sasa hata wale wa kufa kupona wanagombea huko CCM ....unajua nguvu kubwa inayotumika kupangua hoja za ufisadi kuliko kunadi ilani ya Chadema? Hivi nyie mashabiki mnaijua hata hiyo ilani japo kidogo? Bora hata magufuli anatembea nayo na kuinadi .....Hivi unaamini idadi ya mahudhurio kwenye mikutano ndio kura? Pengine hukujua nini kilitokea kwa Mrema na hata Dr Slaa mwaka 2010 .....huu uchaguzi tunapoteza vibaya hadi level ya ubunge (mark my word) ....hatuna hoja nzito zaidi ya kuaminisha watu kuichoka tu CCM tena kazi hiyo ikifanywa na akina Sumaye ......Aibu tu ....

mtashindwa nyie na wakiokutuma sie tunashinda
 
Fanya utafiti halafu uandike tena maoni yako
 
Kama unafananisha Mrema na Lowassa unafanabisha usiku na mchana .kama unajirisha kuwa mahudhurio hayana uhusiano na ushindi msinge kodi malori kubeba watu .mwisho mwaka huu vijana wamejiandikisha fully.

mkuu usidanganyike na uwingi wa watu kwenye mikutano...magufuli arusha alijaza na lowasa akaja akajaza pia....una hakika walio enda kwenye mkutano wa magufu sio walio enda kwa lowasa?
 
mkuu siasa ni watu, kama ilani ndo ushindi chadema au Cuf wamekuwa na ilani nzuri tu lakini hawajahi kufikisha asilimia 30 ya kura za urais, mwaka huu hali ilikuwa inaelekea kuwa mbaya zaidi lakini kwa sasa nchi ina mwamko mpya, unataka asset ipi zaidi ya hii ya chama kupata nguvu kwenye mioyo ya wananchi?

Mtizamo wangu: Litizame anga na kisha tazama uliko kanyaga kisha jiulize-ILI KUWAHI KUFIKA YA KUPASA KUFANYA NINI! NI KUBADILIKA AU KUOTA MIZIZI?
 
Ni Asset? Unajua ilisemwa anakuja na Wabunge wangapi? Mpaka sasa hata wale wa kufa kupona wanagombea huko CCM ....unajua nguvu kubwa inayotumika kupangua hoja za ufisadi kuliko kunadi ilani ya Chadema? Hivi nyie mashabiki mnaijua hata hiyo ilani japo kidogo? Bora hata magufuli anatembea nayo na kuinadi .....Hivi unaamini idadi ya mahudhurio kwenye mikutano ndio kura? Pengine hukujua nini kilitokea kwa Mrema na hata Dr Slaa mwaka 2010 .....huu uchaguzi tunapoteza vibaya hadi level ya ubunge (mark my word) ....hatuna hoja nzito zaidi ya kuaminisha watu kuichoka tu CCM tena kazi hiyo ikifanywa na akina Sumaye ......Aibu tu ....

Pole sana rafiki

umeongea kwa uchungu na huzuni sana

unajua kuna tofauti hapa ninaiona, kuna wale wanaofuatilia siasa kila siku, na hawa wenye mihemko ya uchaguzi ambao hawana basis zozote zile

Nilisema mara nyingi na sita sita kurudia , moja ya kosa kubwa kabisa kufanya sisi wananchi ni kutokuwa na uwezo wa kuwawajibisha hawa viongozi wa vyama. Kuna kipindi nilipenda sana, tuwanyooshe, watusikilize, kutuelewa, tuwakosea na tukiwauliza watujibu maswali

Hawa viongozi wanachofanya ni kuandaa watu ambao watawatete kwa nguvu zote.....na kupaza sauti!

Leo hii ukionekana au kusikia unaikosoa chadema, NCCR, CCM haijalishi hata kama wewe ni mwanachama husika wa hicho chama.....utaitwa majina mabaya yote

tukubali tu, miaka 20 upinzani umeipoteza, na wakishindwa huu uchaguzi, Mbowe asubiri mwana CCM mwingine atakayekatwa 2020
 
Lile sharti lako kwa Lowassa kuwa aje na watu, wewe ukaona hana watu, ukatoka UKAWA limedhihirisha kwamba utafiti wako unaojikweza nao haukufanyika kiweredi maana watu aliokuja nao ni zaidi ya ukiokuwa nao.

Nadhani mfuriko unayaona. Lakini hebu fikiria mzizi wa CCM kwenda UKAWA na kusema Peopleeeeeees! unadhani CCM itendelea kuota au ndo hivyo inakauka. Kungunge jembe!, uzee wa mwili ni issue nyingine, kichwa bado kiko fit.

Hata kubari hadi Josephino akubari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom