kakanadada
Member
- Sep 13, 2015
- 15
- 1
- Thread starter
- #21
Bei ni 30M lakini kwa alie serious kutakuwa na maongezi hadi tutafikia maelewamo. Panda hewani au text no. +255 688 494 920. Kwa alie dhani kuna mamba hajui kuwa mamba huishi mitoni na si ziwani. ziwani wanaweza kupita tu (tena usiku so kawaida kuwaona ziwani mchana) lkn so makazi yao hivyo asiwe na hofu ya mamba kabisa. Kuhusu barabara ipo japo so nzuuri saaana lkn hivi karibuni imekuwa upgraded kuwa ya mkoa na hivyo itajengwa vizuri na TANROADS.
Kwa yeyoye atakae fanikisha biashara hii atapata commission ya 1M