Naomba msaada namna ya ku-edit post ya zamani

Naomba msaada namna ya ku-edit post ya zamani

kakanadada

Member
Joined
Sep 13, 2015
Posts
15
Reaction score
1
Wadau naombeni maelekezo ya namna ya ku-edit mada JF niliyo ipost siku kadhaa zilizopita.
 
kuna mtu alinidokeza china majina yameisha, sasa naamini hata kwetu ni hivyo kakanadada aisee!
 
Last edited by a moderator:
na Mimi jamani nielekezeni jinsi ya ku delete PM messages
 
na Mimi jamani nielekezeni jinsi ya ku delete PM messages

Inategemea na nini unatumia, ila kama umedowload application ya JF , jaribu kwenda PM kisha hold ile msg then zitakuja option kisha utadelete
 
Back
Top Bottom