kakanadada
Member
- Sep 13, 2015
- 15
- 1
Kiwanja cha first beach kinauzwa. Kina upana wa mita 98 na urefu wa mita 120 kuanzia kwenye maji kuingia nchi kavu.
Ni beach ya mchanga na kina chake kinaongezeka taratibu sana kiasi kwamba hata mtoto mdogo anaweza kuogelea kwa usalama kabisa.
Kina view nzuri za safu za milima ya Livingstone na Malawi. ziwa linaonekana hadi mwisho wa upeo wa macho yako.
Kuna miti ya asili na ya kupandwa kwa ajili ya kupunguza upepo na kivuli.
Kuna apartment ambayo bado tu finishing. Kipo kilomita 15 tu toka kyela mjini ukilinganisha na Matema beach ambayo ipo zaidi ya kilomita 40 toka kyela mjini.
Kiwanja kinafaa sana kwa hotel au makazi ya kifahari. Tuwasiliane kwa namba hii +255 688 494 920.