Recent content by kakamukubwa

  1. K

    Wizara ya viwanda na biashara na cbe yawatelekeza wanafunzi wa vipimo(legal industry and metrology).

    Siku moja Tangu Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya viwanda na Biashara kusomwa Bungeni,Ni siku hiyo hiyo ndio Wizara ya viwanda kupitia chuo chao cha CBE,Kilitoa Barua kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza na pili waliokuwa wakidhaminiwa na WIZARA HIYO kuwa kimesitisha UDHAMINI WAO KWA SABABU WIZARA HAINA...
  2. K

    Sioni Tofauti ya kiutendaji kati Prof Mlacha na Kaimu mkuu wa chuo cha CBE.

    Nimelazimika kuomba Cv ya huyu Ahmedi kaimu mkuu wa chuo cha CBE,Mimi si mtofautishi sana kiutendaji na Prof Mlacha. Sielewi hawa jamaa Network zao kwenye SERIKALI ndo vinavyowapa kiburi.
  3. K

    Mvua inanyesha ulipo?

    Duuu una manisha luse aache uchungaji.
  4. K

    Mvua inanyesha ulipo?

    Nipo pande za Manzese Mvua imeanzia darajani...kwenda mbele... Vipi ulipo hapo..
  5. K

    Kwanini benki hakuna vyoo/maliwato kwa ajili ya wateja?

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU Nimefatilia Muda mrefu sana na kubaini kuwa ni karibu Bank zote hazina vyoo vya wateja. Kwanini? --- --- --- --- === BAADHI YA MAJIBU YALIYOTOLEWA NA WADAU --- ----- --- --- ---
  6. K

    nisaidieni location ya heslb kwa kutokea ubungo

    Panda gari za kwenda msasan then utamwuliza konda kituo cha kushukia.
  7. K

    Undani wa HLSSF ukoje?

    MASWALI NA MAJIBU YAULIZWAYO MARA KWA MARA HIGHER LEARNING STUDENTS SUPPORTING FUND (HLSSF). MFUKO WA KUSAIDIA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU NCHINI. MASWALI NA MAJIBU YA MASWALA MBALIMBALI YANAYOIHUSU HLSSF...
  8. K

    Usomaji Wa Majira ya Saa.....Ni kumezeshwa..

    Haya ya freemason achana nayo
  9. K

    Usomaji Wa Majira ya Saa.....Ni kumezeshwa..

    Inakuwa saa 1 asubuh kiswahl, 7 kwa ki english
  10. K

    Usomaji Wa Majira ya Saa.....Ni kumezeshwa..

    Jamani hodi hodi..? Leo napenda mnieleweshe kwani Usomaji wa Majira ya Saa kwa ki inglish uko hivi.. Saa 1:00 asubuh English ni 7 :00 am Saa 2:00 Asbh Englsh ni 8:00 am Huu ukaririshwaji aliuleta nani? wa saa 1 kiswahili,7 kiobama.
  11. K

    Live Updates: Mwendelezo wa kusikilizwa Rufaa ya Lema - Oktoba 02, 2012

    There are currently 1536 users browsing this thread. (332 members and 1204 guests)
  12. K

    Lowassa ashinda Ujumbe wa NEC (CCM) Monduli kwa Ushindi wa 99.9%!

    mnaobisha bishen huyo ndo Rais wa nchi 2015
  13. K

    Halima Mdee: Jumba la Mch. Rwakatare nalo libomolewe ili Kuepuka Double Standard!

    Walalahoi sawa kubomolewa ila yeye hapana,Mungu gani huyo anaefundisha dhuluma ya haki.
Back
Top Bottom