nisaidieni location ya heslb kwa kutokea ubungo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nisaidieni location ya heslb kwa kutokea ubungo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by dionece, Oct 4, 2012.

 1. dionece

  dionece Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  msishangae naombeni tafadhali mnielekeze
   
 2. k

  kakamukubwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Panda gari za kwenda msasan then utamwuliza konda kituo cha kushukia.
   
 3. K

  KALA Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 26, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  panda gari za kutoka ubungo to msasan halafu mwambie konda kituo cha general tyre ukishuka hapo ulizia ofisi za heslb watakuonesha coz siyo mbali na unaposhuka!
   
 4. ruston8919

  ruston8919 Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kituo cha kushukia ni TIRDO
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Panda gari za msasani,mwambie konda akushushie kituo kinaitwa tirdo.
   
 6. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,244
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  panda daladala zilizoandikwa ubungo-masaki/msasani ubungo bus stand, zinapaki kule kwa kutokea.. Utashuka kituo cha tirdo au cocacola... Utavuka barabara unaingia getini(nje kuna bango limeandikwa tirdo)..
   
Loading...