kwa wale tuliesomea mwanza kuna mashindano yalikuwa yanaitwa rottery asee ilikuwa sio mchezo, ilikuwa ni sehemu ya kuonyeshea nani mjanja, nani anjua kuvaa vizuri, nani mbabe na mambo kibao, shule kama lake secondary, bwiru boys, nsumba aka washamba wa pori na buswelu ilikuwa nom, mji mzima...