Recent content by kakaloo kisasi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Video: Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini

    N.. usa river viwanja
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnawezaje kuishi na mwanaume anayefokafoka?

    Muwekee sumu kwenye chakula
  3. K

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kutumia Condom kwa zaidi ya miaka 20 nilipoanza kufanya mapenzi

    Kibamia kimekubeba sana..ukiwa na kibamia hupati ngoma
  4. K

    JamiiForums Tanzania Siku hizi naona Walimu wana maisha mazuri sana

    Ukute huna hata Passo ya milioni 4
  5. K

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Nimefatilia sana huu Uzi pia umenifanya nifatilie mambo mengi sana kuhusu company.. Mimi ni mfatiliaji mzuri sbb napenda kusoma na kusikiliza kuliko kuongea ila nimeamua kuachana kabisa na hizi mambo zinavuruga akili baada ya kusoma Kwa kina waraka wa Mzee wa saa za ukombozi..ambao nadhani ndo...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba awa Waziri wa Fedha wa kwanza kuingia na msafara huu Bungeni

    Huwezi kumsafusha mwigulu..mikoni yake imejaa damu
  7. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mwanafunzi Bora Chuo Kikuu Mzumbe aliyejiajiri kwa kukusanya na kubeba taka na kufanikiwa

    Watu wa vijijini bhana!! Keshakwambia yeye ni graduate ule muda wa kuzunguka na vyeti na Hana sponser na ameomba tu kudhaminiwa Kodi Kwa muda.. akaona ni Bora kukodi guta kuingia kazini then we unamlinganisha na kikundi kilichojisajili ndo kikaomba kazi
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nilijitoa kufanya naye maisha ila ameniachia wakati mgumu nikiwa na mimba yake

    Hiyo laana itamtafuna milele sisi aged kidogo tumeona wengi wa hivyo Huwa Hawa settle kabisa anaweza akashika Hela nyingi tu na still akawa maskini na kuhisi analogwa kumbe wap
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kamishina wa Ardhi Rukwa, Mkuu wa Idara ya Ardhi Sumbawanga na Fagio Auctioner wananyanyasa wananchi Rukwa juu ya Kodi ya Ardhi

    Huko wataalam hawapataki ndo maana afisa ardhi yeye ndo surveyor yeye ndo mipango miji na yeye ndo Mkuu wa idara..ukienda kichwakichwa unaweza kufa huko Sasa Cha kufia nini wakati Engineering survey inalipa hata hapa town kidogo cadastral ndo imeyumba
  10. K

    JamiiForums Tanzania Dilemma: Nipiganie Damu Yangu ili Ndoa Zetu Zitikisike au Ninusuru Ndoa Zetu lakini Damu Yangu Ipotee?

    Hivi vizingiti tushaviruka sana. Kwa umri huu nadhani vimeshapita Sasa. Binafsi nime experience zaido ya mara 6..Tena wengine Hana hata uhusiano Yan ni serious issue.. na kigezo ni Mimi nahitaji mtoto tu kutoka kwako mengine nayamudu ila Kila nikimfukiria huyu Mama nayashinda ya dunia
  11. K

    JamiiForums Tanzania 90% ya mahusiano ni kichefuchefu, njaa na tamaa zimetawala

    Sasa kama ushapiga unasubiri nn tena
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake ni viumbe hatari sana, tena sana

    Huyo mwanamke Hana shida kwanza umekiri alikua anakupenda sana na ww hukua na future naye hivyo ukamchana kiroho safi akaapa atakulipa Kwa maumivu makali zaidi akakujaza ukajaa ukapata stahiki yako..ungekua smart ungeshtuka eti anataka copy
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu anataka kuniibia nimeona Dalili

    Dogo kafaulu vizuri Mimi Wala nisingehoji hiyo Hela acha akajipongeze B,B,C siyo kitu kodogo Kwa PCM ingawa sukuhizi zimekua nyepesi kidogo
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hanipi ushirikiano na ananitazama kwa macho makali wakati wa tendo la ndoa

    Kwa kweli hiki ndo kizazi tulichonacho
Back
Top Bottom