Kutokana na Press ya Makonda kuna vitu kavigusia na sasa nimemuelewa!,Kumbe watengeneza Jersy hawakutaka kusubiri kwa maana walishatengeneza jersy kindi kirefu kabla ya vikao na serikali maana yake wamekurupuka,Pia mahudhui yanatakiwa kuwekwa!Pia mkataba ni wakimagumashi auonyeshi ni mkataba wa...
Kutokana na Dunia kwa sasa soko la cryptocurrency likonwazi mataifa makubwa ya meingia katika hii biashara.
Sasa ni wakati kuwekwa jukwa hapa ili watanzania wafunguke ubongo,kuliko kila mara waonaposikia cryptocurrency basi uwaza muda wote wanadhani cryptocurrency ni utapeli, japo ni kweli...
Sahihi niliagiza smartwatch ilibidi nicheke maana hata mwanangu naona akuipenda ipo chumbani mwao inazagaa na hapo walinipiga 35k katika picha ilikuwa bonge la saa! Siku hizi natumia Ali Express katika manunuzi yangu kutoka china.
Kutokana na kauli za nyuma nidhahiri Paul Christian Makonda akiwa Makamo wa Rais wa JMT.
Hii aina ubishi na aina comeback!
Ikishindikana Razaro Nyarandu anaweza akaukwa.
Over.
Nchi hii ni yetu sote! Tunaendeshwa kwa mujibu wa sheria! Sasa kama unaishi katika fikra za Mwenyekiti utagombana na wengi sana,hasa kauri yako kusema asitoke'Yeye ndiye aliyeratibu maafa' Wakati huyo unayemtaja hakuwepo saga lote linatokea katika tume uliwahi kusikia jina lake??Je Majiaji wewe...
Hapa nimekupa njia mbadala ya kukuelimisha maana mimi by Professional ni Mwalimu kuna njia nyingi za kuelewesha mtu ambaye uwezo wake wakufiri unatumia Petium 2 na floppy disck hii ndiyo namna ya kukuelewesha sema ndiyo kama umenielewa!
Unapingana na sheria? Utakuwa ni Mwendawazimu unatakiwa kuwahishwa Mirembe!, maana yeye angetamani hata leo atoke!! ila sheria airuhusu hivyo,sheria kitafsiriwa vyema atatoka huna chakufanya!.Nevema katika adhira ukaficha upumbavu ukabaki na ujinga utaweza kuelimishwa na ukaelimika,ila upumbavu...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza TOYOTA LANDCRUISER 1HZ HARD TOP, LX STATION WAGON, DOUBLE CABIN INAHITAJIKA!
Sharti
Isiwe imelipiwa ushuru.
Isiwe ni gari za mnada kutoka katika NGos au Serikalini
Njoo na bei yako
Tukutane DM
Punguza nyororo
Soma vizuri uelewe bango.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.