Duh Chem chem! Mi niliishi pale kwa Kamanga dukani opposite na Chemchem 2000- 2002 Bila shaka ulikuwa ukinunua Alizeti kwa yule bibi pale mlangoni hahahaha....
Man unaenda mbali saana, unamchanganya muhitaji, kila mmoja alikuwa na mchango wake kulingana na wakati alio ishi, Mchango Mr X nao ni mkubwa pia. Hata Bob Marley unae mtaja alipata kuwa maarufu zaidi alipojifungia na kuchimba library ya Mr X. Hapo ndipo ilibozaliwa Survival album.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.