Nukuu za Hugo Chavez

Nukuu za Hugo Chavez

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,346
Reaction score
26,143
1.I am convinced that the path to a new, better and possible world is not capitalism, the path is socialism.

2.I hereby accuse the North American empire of being the biggest menace to our planet.

3. We must confront the privileged elite who have destroyed a large part of the world.

4.There is no turning back.

5.Convinced as I am and as I am from my government that the world needs a new moral architecture over all I believe that this should be the first topic to debate in our world of today, ethics, moral.
 
R.I.P comrade Hugo Chaves!
you are among the World heroes!!
 
Acheni kumtetea mngekaa Venezuela mkajua alivyo mnyonyaji watu wanakosa hata panadol hospitalini na wagonjwa kulaliana kama bongo wakati nchi tajiri. Kifupi amerudisha nchi nyuma sana tuuuu, na maspeech ya masaa kulaumu Marekani kila siku!!!By the way RIP.
 
Kwani wewe uko Venezuela.....mmmmh?
 
Acheni kumtetea mngekaa Venezuela mkajua alivyo mnyonyaji watu wanakosa hata panadol hospitalini na wagonjwa kulaliana kama bongo wakati nchi tajiri. Kifupi amerudisha nchi nyuma sana tuuuu, na maspeech ya masaa kulaumu Marekani kila siku!!!By the way RIP.

Tanzania, hawafi kwa kukosa panaldo.
 
Last edited by a moderator:
1.I am convinced that the path to a new, better and possible world is not capitalism, the path is socialism.

2.I hereby accuse the North American empire of being the biggest menace to our planet.

3. We must confront the privileged elite who have destroyed a large part of the world.

4.There is no turning back.

5.Convinced as I am and as I am from my government that the world needs a new moral architecture over all I believe that this should be the first topic to debate in our world of today, ethics, moral.

Mkuu umeona nukuu za BBC,"shetani alikuwa hapa,hapa hapa" akimwambia Bush. "Najua Hillary Clinton hanipendi,hata mm simpendi" kaa kimya wewe binti mdogo akimwambia Condoleeza Rice.
 
Acheni kumtetea mngekaa Venezuela mkajua alivyo mnyonyaji watu wanakosa hata panadol hospitalini na wagonjwa kulaliana kama bongo wakati nchi tajiri. Kifupi amerudisha nchi nyuma sana tuuuu, na maspeech ya masaa kulaumu Marekani kila siku!!!By the way RIP.

We ----- kweli inamana hujui kua chanzo cha kutoweka kwa amani ktk nchi nyingi za asia na africa ni marekani na dhulma zao?au we ni mmarekani?congo,angola,libya na mataifa mengi yananyonywa na amerika?kweli nimeamini kuna watu wana micro cheap kichwani kiasi kufikiri vile marekani anavyotaka.
 
Are u Chvista? Tembea uone ww acha kuamini ya kusikia!!! Ovyo kabisa ww
 
Napenda alivyokuwa wazi ktk kusimamia ukweli. Hugo Chaves R. I. P
 
"There is no turning back" ni quote ya Hugo Chavez?
 
Imo hata kwenye Biblia

Ndiyo hawa hawa wakisikia Bob Marley kaimba methali za kiingereza, akim quote Lincoln, au akiimba mistari ya biblia watakwambia hiyo ni quote ya Bob Marley, wakati na yeye ana quote tu.
 
We ----- kweli inamana hujui kua chanzo cha kutoweka kwa amani ktk nchi nyingi za asia na africa ni marekani na dhulma zao?au we ni mmarekani?congo,angola,libya na mataifa mengi yananyonywa na amerika?kweli nimeamini kuna watu wana micro cheap kichwani kiasi kufikiri vile marekani anavyotaka.

Halafu we chizi badala ya kukurupuka uulize tukuambie sawa!! Ungejua jinsi ubalozi wa Amerika ulivyokuwa mkubwa Caracas basi marehemu angewafukuza kama alivyofanya kwa Jewish kifupi usikurupuke wakati najua A to Z!!!
 
Back
Top Bottom