Recent content by KAKA TAJIRI1

  1. KAKA TAJIRI1

    Jamani maji yamefika shingoni nimwachaje?

    Kaka ujue kuna mtu anakusaidia muda mwingine kuna maeneo ulikuwaumfikishi, sasa kapata wa kumfikisha
  2. KAKA TAJIRI1

    Nyumba nzima inapangishwa ipo Pugu

    Ina vyumba 2, jiko, sebule , choo na sehemu ya kulia chakula. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. KAKA TAJIRI1

    Nyumba nzima inapangishwa ipo Pugu

    Picha hizo hapo mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. KAKA TAJIRI1

    Nyumba nzima inapangishwa ipo Pugu

    INAUZWA 45,000,000/= Habari za leo, nyumba inauzwa ipo katika eneo zuri ambalo halijai maji , rahisi kufikika kwa gari. Bei ni 45,000,000/= kwa anayetaka nyumba mawasiliano ni 0683949198 muda wowote. Mawasiliano 0683949198
  5. KAKA TAJIRI1

    Nguvu za kike na utajiri

    Kuna ukweli katika hili la mtoa Uzi. Jambo la msingi umpende au mpendane kweli na kuheshimiana , wanawake wana nguvu ya ajabu sana , ukiaa naye na kuishi naye vizuri lazima mufanikiwe. Naunga mkono hoja. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. KAKA TAJIRI1

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kwa taarifa yako huyo dada yako naye kaamua kukunywea pombe ili kuuvunja ukaka wenu na udada wenu, kwahiyo wewe wala usitumie nguvu nyingi kuuondoa huo ukaka wakati tayari umeshajiseti wenyewe huo mtego. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. KAKA TAJIRI1

    Ewe mke au mme jifunze hili litakusaidia

    Nakupa hongera Anna Pita kwa Uzi mzuri wa kujenga familia bora. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. KAKA TAJIRI1

    Zitto Kabwe: Kuomba maridhiano kwa Rais Magufuli ni kujipendekeza na unafiki

    jd41, Zitto ni mnafiki wa hali juu....
  9. KAKA TAJIRI1

    Ushauri: Mwanamke wangu kanifanyia haya Je nimsamehe Kweli?

    Je wewe na mwenzako ni imani gani au ni dini gani?
  10. KAKA TAJIRI1

    Mahusiano dini tofauti, nipeni mbinu

    Ndugu tafuta mtu dini yako, usijiingize kwenye matatizo kwenye maisha yako. ;Kamwe usichanganye imani kwenye mahusiano nikujidanganya. Usijesema hatukukushauri....
  11. KAKA TAJIRI1

    Anataka nimnyonye kwenye tundu la haja kubwa akidai eti mapenzi ni uchafu

    Wewe unatumia wallet , huyo unayempa wallet naenda kumpa anayemnyonya rim.... Wapi na wapi duh!!!
  12. KAKA TAJIRI1

    Inakuwaje mwanamke aliyeolewa anajiachia namna hii?

    Wise E, Mwanamke yeyote anayetumia kilevi ni rahisi sana kuliwa , hilo halina ubishi kabisa. Na akishakuwa mnywaji mzoefu duh ni hasara kabisa, atakuwa analiwa na kila mwenye nia.
  13. KAKA TAJIRI1

    Niko njia panda: Mimi ni masikini na ninayempenda kwao ni masikini zaidi

    Kaka oa kama mnaendana, usiangalie, mwilini , utadanganyika, angalia uzuri wa ndani , je anamcha MUNGU,? Ana hofu ya MUNGU? Moyoni mwake kimejaa vitu gani? Je ni msafi? Unajua umasikini ni kujitakia. Lakini duniani MUNGU ametuumba sawa kwamba tuna akili na utashi. Sasa kila mtu amepewa nafasi ya...
  14. KAKA TAJIRI1

    NYUMBA ZA NSSF PPF PSPF CHANIKA NATAKA KUJUA BEI KWA ANAYENUNUA KWA FEDHA TASLIMU.

    Habari majukumu ndugu zangu, Kwa mwenye ufahamu juu ya nyumba zinazouzwa za NSSF,PPF PSPF chanika naomba anijuze. Nataka kununua Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom