Kwani ulikuwa member wa pm?Mkuu hata ufurahie wewe jua kuwa siku hizi pm ni haram baada ya zile nyuzi za ngoma kuweka mambo hadharani!
Atakufanyia hayo mkiwa na watoto wawili au watatu na ukimuacha anakwambia wanangu ni Waislamu ninakwenda nao.Nampiga Chini siku hiyohiyo
Kumbe umeolewa?Atakufanyia hayo mkiwa na watoto wawili au watatu na ukimuacha anakwambia wanangu ni Waislamu ninakwenda nao.
Ilinichukua muda sana kukutana na Mkatoliki mwenzangu lakini dini tofauti ni mtihani ndani ya nyumba. Ingawa si Mkatoliki saaana lakini anaelewa nikimwambia ninaamka nisali au umuhimu wa misa J2.
Baraka da princeKubadili dini kwa ajili ya mapenzi sio jambo zuri
Hamad Ndikumana
Flora Mvungi
Christine Sinta
Kitomoto hana mpinzani kwa utraaaam, nimemiss hii kitu ntaipitia jioni![]()
Duh upo sawaaaa aiseee dini nitatizoAtakufanyia hayo mkiwa na watoto wawili au watatu na ukimuacha anakwambia wanangu ni Waislamu ninakwenda nao.
Ilinichukua muda sana kukutana na Mkatoliki mwenzangu lakini dini tofauti ni mtihani ndani ya nyumba. Ingawa si Mkatoliki saaana lakini anaelewa nikimwambia ninaamka nisali au umuhimu wa misa J2.
Kwan Mvungi ndoa haipo tena?Kubadili dini kwa ajili ya mapenzi sio jambo zuri
Hamad Ndikumana
Flora Mvungi
Christine Sinta
Inafikirisha sana. Amekataa hilo halafu usiku wake anazini😀😀😀Yote aliofanya mpaka kuzaa anaona halali, ila kuku ndio haramu. ajabu!.