Ewe mke au mme jifunze hili litakusaidia

Ewe mke au mme jifunze hili litakusaidia

Siku akikuletea ukimwi napo itabidi ukae kimya ?

Kwanini ukae kimya kwenye uovu ?
natumain mko wazima
Mi Anna pita leo nimewamic nimeamua ni share na nyie jambo moja la msingi kwenye ndoa

Ewe mme usitumie nguvu nyingi Sana kumuazibu au kumgombeza mkeo anapokosea njia nzuri kaa kimya

Mfano mkeo kachit hakikisha amejua kua umefaham ikibidi Kama unakifua mfumanie kabisa alafu usimuazibu Yan usimuulize wala kumgombeza jifanye haujui wala hujaona kitu alafu kua mchangamfu kupita kawaida

Nakuhakikishia mkeo atajiadhibu mwenyewe na hatarudia kufanya huo ujinga

Yan hakuna adhabu kubwa Kama kunyamaza kimya hata Kama unaumia kiac gan usimuonyenye ...muonyeshe furaha

Nakumbuka juzi kat hapa nilipata tatizo nikamuomba shemeji yenu Kama lak 2 akaninyima

Na anatabia hiyo mimi nikiwa na tatizo hanipi yan yeye hela zake kwa ajir ya ndugu zake tu

Mi nilikua nimebanwa kweli Kodi ya shop ikabidi nichukue kwenye ac yake kimya kimya bila yeye kujua

Mungu hata siku 3 hazikupita jamaa kajua akaniuliza nikakosa jibu nikaomba msamaha

Jamaa hakujibu kitu zaidi yakua kawaida tu dah!! nilikosa Aman siku 3 sina Aman sili vizuri nikaamua kuondoka home
kwenda kwa sister

Sister sikumwambia chochote nae alivyonifata akaniambia pesa zinatafutwa rudi nyumban na hakumwambia chochote dada

Tangu nirudi Sina Aman hapa natafuta mteja wa kununua duka Zima nisepe mbali sana

So haina haja ya kutumia nguvu nyingi muache mtu ajihukum mwenyewe

Hata kwa mwanaume anaechepuka haina haha ya kutukanana na michepuko ya Mume mwambie najua unatembea na fulan alafu kaa kimya timiza majukum yako ikibidi ongeza manjonjo kwa bed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thubutu yake. Yaani hawa hawa wanawake wa siku hizi hawa?. Ujue anaku-cheat halafu ukae kimya?. Kama walikuwa walikuwa wanakupa heshima ya jamaa yupo,watabadiri jina utaitwa huyu bwege yupo leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama viela ni kidogo ulichukua na ushaomba msamaha si ulimwambia ulikuwa na shida? Ungemwambia nlifanya ivo nkijua hautonipa na wewe ndo mume wangu au ulitaka nidange shost! Na wewe tulia fanya yako kama ametulia haongelei ilo sa unataka kukurupuka kwenda wapi? Si unasema una duka? Chukua ata kwene mtaji mrudishie kile kiasi ulichukua tena mkononi afu unamwambia maneno kiutani utani tu atajiongeza atakusamehe tena mwambie nshajua namna ntakuwa nafanya afu nakurudishia labda km mumeo ni mbinafsi sana hafikirii familia mnayoijenga, usikurupuke kuondoka nakwambia kama ni mumeo wa ndoa
 
Yaani Anna pita unacomplicate mambo, labda kama sio mume wa ndoa mnaetafuta kwa pamoja, ilo sio jambo la kukuondosha kwa ndoa yako
 
Back
Top Bottom