Recent content by kaka kikatiba

  1. kaka kikatiba

    Kitambulisho cha uraia kinapatikana muda gani baada ya kuandikishwa?

    Nilisajili vizuri kabisa tawi la Temeke! Tangu 2019 mwezi wa 10,! Japo mara ya mwisho nilienda mwaka jana mwezi wa 6 nikaambiwa nitatumiwa ujumbe lakini mpaka sahii sijawahi pata ufafanuzi. Nafikiri tubaki na namba tu kama ndio hali hii mana najiuliza ni utaratibu gani nipitie niweze kujua...
  2. kaka kikatiba

    DAWASCO ina aina tofauti za mita au mita zote zinafanana kwa matumizi?

    Nimekua nikipata tatizo la bili ya maji kuongezeka sana kias kwamba ninapata waswas maana tangu nibadilishiwe mita iliyokuwa imefubaa haisomeki vzuri, sahiz bili ya maji inakuja kubwa mpaka natamani irudishwe ya awali. Kama kuna mtu ana uelewa anijuze hizi mita zina utofauti upi isijekuwa...
  3. kaka kikatiba

    Raia Mwema: Paul Makonda kushtakiwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka

    Mi nna imani lisemwalo lipo,,ndo sbb hasikiki hewani au hayupo TZ
  4. kaka kikatiba

    JF ingekuwa YouTube

    Kama kweli vile
  5. kaka kikatiba

    Universe Ni Ndogo: No Light Years Between Planets Or Galaxies

    Inawezekana upo sahihi..maana naamini kua ni nyota kubwa ndo sbb mwanga wake bado mkali..na inasemekana inazid kukua kwahvo kuna mda utafika jua nalo litakua dogo ka nyota
  6. kaka kikatiba

    Nyaraka: Kashfa ya Richmond - Maagizo ya Lowassa na Uamuzi wa Serikali

    asante,mi naamin adui wetu namba moja tushamjua ,,,pamoja namaccm lakn mwenekiti pia ana lakutuambia
  7. kaka kikatiba

    CHADEMA kitaaibika vibaya Uchaguzi ujao

    kaka maccm wana propaganda kama hzo tangu hukooooo,,sahiz tumeanza na hili mpaka mwisho ,,,,,,unawajua T 2015 CDM ????? faxxesssssss**
Back
Top Bottom