Kitambulisho cha uraia kinapatikana muda gani baada ya kuandikishwa?

kaka kikatiba

Member
Oct 15, 2014
8
4
Nilisajili vizuri kabisa tawi la Temeke! Tangu 2019 mwezi wa 10,! Japo mara ya mwisho nilienda mwaka jana mwezi wa 6 nikaambiwa nitatumiwa ujumbe lakini mpaka sahii sijawahi pata ufafanuzi.

Nafikiri tubaki na namba tu kama ndio hali hii mana najiuliza ni utaratibu gani nipitie niweze kujua walau follow up inakuaje(tracking) mpaka nakipata.
 
Back
Top Bottom