Kama we ni mtu wa kupenda yale mapenzi ya muda wote kupigiana simu, kuchati whatsapp, kukutana lunch time, jioni kuwa na mpenzi wako, muda wote unataka umuone one.. Mfanyakazi wa benki we hakufai. Wale jamaa wanaingiaga saa 1 asubuhi kutoka ni saa mbili usiku. Lunch ni dakika 10 then wanarudi...