Lenovo P780: Smartphone yenye kukaa na chaji zaidi duniani

mdhalendo

JF-Expert Member
Dec 14, 2011
264
250
Wadau ningependa tuiangalie smartphone hii kutoka Lenovo ambayo ni watengenezaji namba 1 wa computer duniani (wakifuatiwa name hp).
Lenovo P780 ina battery yenye ukubwa wa 4000mAh ambayo inaweza:
- Kukaa na chaji kwa siku 3 kama unatumia kawaida tu kwa maana ya intanet, music na calling za kawaida.
- Inaweza kuongea kwa masaa 43 mfululizo (bila kukata simu) ukitumia 2G.
- Ina uwezo wa kuchaji smartphone zingine zenye battery za 2000mAh
- Inauwezo wa kukaa standby (ukiiwasha tu na usipoitumia) kwa siku 35 kwa kuchaji mara moja tu.

Lenovo P780 ina camera yenye 8MP na front camera yenye 1.3 Mp.
Guys, wote tunajua kuwa kero kubwa kwa smartphone ni kutokaa kwa chaji lakini simu hii imeonekana kuwa solution kwa tatizo hilo. Kama unaweza kukaa na smartphone kwa siku 3 bila kuichaji then this is the best thing.
More details ingia kwenye gsmarena.com then search Lenovo P780. Naamini utaikubali. Bei yake ni affordable ni Dollar 230 kwenye Smartphone Dual SIM,Smartphone Wifi GPS,Android Dual SIM Smart Phones
 
Attachments

  • 1387949771498.jpg
    File size
    32.6 KB
    Views
    2,828

mdhalendo

JF-Expert Member
Dec 14, 2011
264
250
Little Angel battery life ya simu hii ndiyo selling factor kubwa ya simu hii. Licha ya hivyo ina features nzuri sana. Lenovo wanakuja kwa kasi sana kwenye utengenezaji wa smartphones na tablet. Kwenye komputer wao wanaongoza....wana komputer nzuri aina ya thinkpad yoga na lenovo yoga pro. Wanakimbiza vibaya. Within 2 years lenovo waneweza kutoka kwenye zero level hadi kufikia kuwa namba 4 smartphone vendor in the world. Namba 1 ni Samsung 2. Apple 3. LG 4. Lenovo (that is according to Quarter 3 of 2013 smartphone business report.
 
Kaka Joni

Member
Oct 1, 2013
25
20
Wakuu labda nishee uzoefu wangu. Nimetumia smartphone za kila aina kuanzia htc, samsung, iphone, sony, lg n.k. Kusema kweli, hizi smartphone ni kama watu tumekariri majina lakini ni tabu tupu. Tangu nianze kutumia lenovo s890 ni miezi sita sasa ya furaha na amani. Simu hii kwakweli imenifanya nisitamani kabisa smartphone nyingine. Japokuwa battery yake sio kubwa kama iliyotajwa, lakini ndio smartphone pekee ambayo nimesafiri nayo toka moshi hadi dar nikiwa niko full online whatsapp, insta, jf, fb messenger.. huku nimeweka earphones nakula music njia nzima, bado napokea simu za kawaida na msg... kiufupi simu hii kwa heavy usage inakaa na charge 15hrs straight. Kwa simu yenye kioo cha inch 5 nadhani jamaa wamejitahidi sana..
 
mdhalendo

JF-Expert Member
Dec 14, 2011
264
250
Ni kweli kaka Joni these guys wanajua sana. Kutembea na chaja Kila kona kunachosha sana. Sometimes unalazimika kununua vinokia to hi ili smartphone ikiisha chaji uendelee kupatikana.
 
delako

JF-Expert Member
Oct 6, 2012
2,596
2,000
Wekeni na bei yake hili tupungue kuchangia ktk huu mjadala!!nimezoea tecno,htc,ideos&huawei kuanzia lak 1 na nusu mpaka 2 na nusu!
 
sexologist

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
2,288
1,195
Wakuu labda nishee uzoefu wangu. Nimetumia smartphone za kila aina kuanzia htc, samsung, iphone, sony, lg n.k. Kusema kweli, hizi smartphone ni kama watu tumekariri majina lakini ni tabu tupu. Tangu nianze kutumia lenovo s890 ni miezi sita sasa ya furaha na amani. Simu hii kwakweli imenifanya nisitamani kabisa smartphone nyingine. Japokuwa battery yake sio kubwa kama iliyotajwa, lakini ndio smartphone pekee ambayo nimesafiri nayo toka moshi hadi dar nikiwa niko full online whatsapp, insta, jf, fb messenger.. huku nimeweka earphones nakula music njia nzima, bado napokea simu za kawaida na msg... kiufupi simu hii kwa heavy usage inakaa na charge 15hrs straight. Kwa simu yenye kioo cha inch 5 nadhani jamaa wamejitahidi sana..

Mkuu,
Ila jamaa kasema ni version p780, so inawezekana yako chaji yako ikalast for a day, ila hii ikawa improvd for 3days.. All in all mmenishawishi kutafuta hyo cm!
Thanks!
 
sexologist

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
2,288
1,195
Wekeni na bei yake hili tupungue kuchangia ktk huu mjadala!!nimezoea tecno,htc,ideos&huawei kuanzia lak 1 na nusu mpaka 2 na nusu!

Wewe na mwingine hapo juu;
mmesoma thread vizuri? hyo dollar 230 ni nini? au basi tuseme shilingi 370,000/= hivi.. hapo tumeelewana sasa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom