Recent content by kajunju

  1. K

    Nini kilimkuta mwandishi wa habari wa DW, Kabendela Shinani na kupelekea kifo chake?

    Huyu jamaa alikuwa mtanzania mzaliwa Kamachumu, alisoma bukoba seco na akawa mwandishi WA HABARI. Alipenda tend akiwa mtangazaji WA kiswahili radio rwanda. Nakumbuka enzi hizi alikuwa na serushago bin nestory na Ally Yusuf Mugenzi mkurugenzi WA BBC gahuza miryango. Vita ya 1994 aliikimbia Rwanda...
  2. K

    TANZIA Leopold Kweyamba Lwajabe amekutwa amefariki Mkuranga baada ya kupotea wiki iliyopita

    Mimi nitawarahumu wanyambo mlioko dar. Mimi nilienda msibani Jana. Watu walikuwa wakijaribu kuongelea kilichojiri, wanyambo wanakukimbia. Napenda niwaulize maswali 1. Kwanini haijafanyika postmortem na baadala yake mnaambiwa majibu Ni baada ya siku 8?ili muwe mmezika?? 2. Nani kwenye familia...
  3. K

    Siishanglii Taifa Stars ili nione kwa sababu ya unafiki wa wanasiasa

    taifa sttars ilifuzu miaka 39 baada ya kukaa nje ya uringo wa kimataifa. Baada tu ya kufuzu ndipo tumeona miamba ya siasa chafu za nchi hii wanajitokeza kuikumbatia timu. hapa kuna bashite & co, Ndugai na Nkamia. nikianza na bashite, yeye ameozi timu kama ya mkoa wa dar (mzizima united) na ndiye...
  4. K

    Jinsi ya kuomba ajira za ualimu kwa mfumo wa OTEAS na changamoto zake

    Habari za jioni wapendwa. Tangu tarehe 27/02/2019 nimekuwa ninajaribu kutuma maommbi ya nafasi za ualimu kutumia online teachers application system lakini imeshindikana. kujisajiri tu nimechukua siku nne. huku nilipo nimekodi computor ya mtu usiku niwe najaribu wakati labda system inakuwa si...
  5. K

    Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    huu ugonjwa unaitwa fistulectomy au wakati mwingine wanasema sinus. kinajitokeza kijipu kidogo na kinauma sana. dawa ya hii kitu ni kufanyiwa operation. kwa yule ambaye anasema kanauma sana, akienda watapasua na humo ndani wanaweka pamba ambazo zinatolewa baada ya 24 hrs. ni operation inauma...
  6. K

    Je, Mkalimani hulipwa shilingi ngapi?

    kwenye utalii au ngos wanalipa 45-55$ kwa siku. ila kama haujawai kufanya hii kaxi lazma upate refresher training la sivyo utachenka. kumbuja kuna interpretation na translation. usikubali kulipwa kwa kwezi. lipwa kwa siku inalipa sana
  7. K

    Rais ni binadamu, Rais ana hofu ya Mungu, twende naye taratibu atatuelewa wananchi wake

    analeta maendeleo ya wanaokufa? tukio la lissu na saa nane hajawai betua mdomo wake. je bdugu zake na hawa watamuombea? je ndugu zao akina lissu, saa8, aziri siyo watz wa kumuombea yeye. angetoka adharani na kusema naomba mniombee ili maalamia yaliyotenda maovu tajwa niyakamate. kupiga mnwaaa tu...
  8. K

    Kigoma: Daktari feki aliyetibu kwa muda wa miaka 10 akamatwa

    huyu dr nasikia ni fitina tu. kuna mama mmoja alikuwa healthy coordinator trcs ila umri ulikuwa umeenda wakamtoa. huyu msaidizi wake akapewa uboss. huyu mama ali-mind mwenzie kupewa ukubwa akaenda baraza la madaktari kufukunyua mambo. naskia jamaa alinyakwa akiwa mwaka wa mwisho...
  9. K

    Dkt. Kigwangalla amlilia mwanafunzi Akwilina

    magwangala ni boss wa ndalichako? ameenda ili eti ahakikishe ahadi zilizotilewa Na serikali zinatolewa. INA maana ameenda Chen ndalichko kama alipeleka umbea wake? subiri kesho wataniminika kuanzia bashite & co
  10. K

    Risasi zilizolenga daladala la Mabibo-Makumbusho zingeenda kutua hapa, nani aliagiza haya?

    kwanini fomu hazikutolewa mapema? ulitegemea ijumaa SAA 12:00 jioni Na uchaguzi ni asubuhi yako wazifuate kwa mamako? uliangalia kipindi rails anajiapisha? ulisikia kuna MTU alikufa? kama risasi za moto zilitumika kupiga Juu kutawanya watu he marehemu Aquilina alipigwa akiwa angani? suspect kwa...
  11. K

    Yupo wapi Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Kayanza Pinda?

    pambaffff uimara gani idarani wakati kipindi cha 95-2005 ilikuwa kipindi cha wiz uliojificha na uliotukuka? sasa HIV idara IPO IPO tu full kuteka Na mahigambo huku bombardier zimepigwa pini. idara gani imeshindwa kumshauli mkulu ni full mikurupuko. makinikia, faru john, tetemeko kagera, kuzima...
  12. K

    Joseph Mbilinyi(Sugu) abakie rumande kwa usalama wake, nilishauri hata Kwa Lissu

    nawe ni font ford unatafuta pale Lumumba. kipenzi cha wafanyakaz kwa kua wameongezewa salary, kuzuia mahind ya wakulima Na sasa debe ni elfu 7 wakati mwez July 17 wangeuza 22? ufahuru wa shule, kubomolea wananchi nyumba Na kuwapa fidia au kulipa wakandarasi?kati ya watajwa apo Juu taja kundi...
  13. K

    Wito kwa Wana JF wote: Maombi maalumu kwa ajili ya Rais wetu mpendwa Dkt John Magufuli

    huyu unayempigia debe aombewe Na tundu lissu nani muhimu kuombewa?? MTU wako Sikh hizi amestuka kuombewa
  14. K

    Siku ya Sheria: No mention of Tundu Lissu!, Je ni amesahaulika tu kutajwa, amepuuzwa au ameepukwa?!.

    ninaomba kwenye Nina Na wasifu wa makamu Rais wa TLS atuwekee APA.
  15. K

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mr cent ford atakufuataaa ohhhh, Sikh hizi ni MTU asiyejulikana
Back
Top Bottom