Jamani wanajamvi naomba kuwakilisha kilio changu cha muda mrefu kwani naamini hapa ni sehemu maalumu ya kupata msaada. Nikwamba nina gari aina ya Suzuki Escudo CC 1,500 cc ya mwaka 1997. Hii gari niliagiza moja kwa moja kutoka japani takribani miaka 4 iliyopita. Historia fupi ni kwamba siku...
Ninamsikiliza Mh. lakini ukweli ni kwamba vyeti na all credentials zinatia mashaka pasi kuacha shaka. Asilimia 100% ni utata mtupu??
1. Swali tupe cheti chako......Jibu..... Madawa ya kulevya??
Mhh hii habari kubwaaaaa. Ningekuwa mimi nisinge weza kwenda kujianika pale. Bora kukaa kimya kuliko...
Heshima kwako kaka Mayala Paschal,
Hili bandiko limekuja wakati muafaka katika kutathimini mustakabali wa nchi yetu. Jibu langu kwako ni kwamba CHADEMA hawajawa tayari na sioni kwa kipindi kijacho takribani miaka 20 CHADEMA kuwa tayari kushika dola. Napenda kusapoti majibu yangu kwa ushaidi...
Nitakribani mwaka mpango wa kuweka umeme kweye baadhi ya maeneo umekuwa ukitekelezwa kwa kusua sua. Tumeshuudia nguzo kubwa wa umeme mkubwa (HT) zikichukua takribani miezi nane na zaidi. Usambazaji wa nguzo za umeme mdogo zimechukua miezi karibia mitano. Transforma zilichelewa mpaka watu...
Kwa mtazamo wangu namuomba MH. Nape amuache kijana Mh. Makonda aendelee kuchapa kazi. Kama angekuwa analinda hiyo brand au brands angechukua hatua za dhati kabisa kuhakikisha wasanii hawajiingizi kwenye madawa ya kulevya.
Kuwapeleka watu rehab sio suluhisho. Ni sawa na kuokota maiti mtoni na...
Kuitwa polisi ni njia moja ya mahojiano tusubiri tuone mwisho wake.. napingana na wewe huwezi kuuza ngada eti kwa sababu wewe ni kada wa chama chetu... ngada isipokuharibu wewe itamdhuru nduguyo au mtanzania mwingine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.