Recent content by KAJUGUJUGU

  1. K

    RC Kagera:Wazazi wacharazwe viboko(Audio)

    hapa kazi tu
  2. K

    CCM Bukoba mjini itaokolewa na muujiza

    Kama kuna miujiza inatokea duniani basi itakuwa ni CCM kupata ushindi wa maana Bukoba mjini uchaguzi wa Oct 25
  3. K

    GE2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

    Ni dalili za anguko la ufalme wa shetani hapo Octoba 25
  4. K

    TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    Kwa mujibu wa tangazo linalopitishwa kwenye local channel ya Bukoba (mohamed cable)kesho Tanesco watakata umeme.Kwa sababu hiyo wakazi wa Kagera wengi wao hawataona uzinduzi wa kampeini za Ukawa moja kwa moja kutoka jangwani.
  5. K

    TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    Kwa mujibu wa tangazo linalopitishwa kwenye local channel ya Bukoba (mohamed cable)kesho Tanesco watakata umeme.Kwa sababu hiyo wakazi wa Kagera wengi wao hawataona uzinduzi wa kampeini za Ukawa moja kwa moja kutoka jangwani.
  6. K

    Dr Kamala hatarini kuenguliwa Ubunge Jimbo la Nkenge

    Dr Diodorus Kmala huenda akaenguliwa kugombea ikiwa pingamizi alilowekewa litapita.Mgombea wa CUF Abubakari Bugachwa aliweka pingamizi kuwa Kamala hakuandika barua ya kuacha kazi ya Ubalozi kwa mujibu wa taratibu.Bugachwa ambaye ni mwanasheria amekata rufaa baada ya pingamizi lake kutupitiliwa...
  7. K

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Kaa mbali na Moto wa UKAWA
  8. K

    Aliyekuwa Diwani kata ya Kahororo (CCM) Bukoba ajiunga na CHADEMA

    Ta Muganyizi hebu ongeza Chifu Karumuna ndiye Mwenyekiti wa UVCCM Manispaa ya Bukoba.Ndiye kijana mwenye mvuto zaidi kwa sasa kwenye siasa za Bukoba.
  9. K

    Jamiiforums' EXCLUSIVE interview: Ana kwa ana na Balozi Khamis Kagasheki (Shiriki kwa kutoa Maswali)

    Kwamba amewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Switzeland, muulize kama anakumbuka tarehe aliyoapishwa kushika wadhifa huo na rais wa awamu ipi?
  10. K

    Mwenyekiti UVCCM Kagera aenguliwa kwenye mbio za Mwenge,madai utovu wa nidhamu

    Uzinduzi wa mbio za Mwenge umefanyika jana 2.May.2014 Kaitaba,Bukoba.Yahya Kateme ambaye ni Mwenyekiti wa UVCCM Kagera alikuwa kwenye orodha ya wakimbiza Mwenge kitaifa na alikuwa kwenye kambi na wenzake.Baada ya Waziri Fenela Mkangala kuwatambulisha wakimbiza Mwenge Yahya hakutajwa na uwanjani...
  11. K

    Diwani wa CCM aliyedaiwa kuua watu wawili,aachiwa huru eti ushahidi ni dhaifu

    Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba imemwachia huru Christian Songambele Diwani wa Kata ya Mabira Wilayani Karagwe aliyedaiwa kutesa na kuua watu wawili. Hakuna ushahidi unaoonyesha diwani huyo aliwaua watu hao. Diwani alikuwa ametoroka na baadaye kukamatwa na polisi akiwa mafichoni mjini Bukoba...
  12. K

    Kashfa mpya kwa Meya wa BUKOBA!Anatory Aman.

    Edson Kamukala leo umeamua kuja kivingine ilishatajwa hapa JF kuwa ugomvi wako na Dk Aman ni pale ulipomtaka akupe fedha ili usiandike hiyo habari.Hasira za kunyimwa fedha umekuwa ukitumia gazeti unaloondikia na nafasi yako kama mhariri kujidhalilisha na kuonyesha udhaifu wako.Inawezekana kweli...
  13. K

    Benjamin Mkapa: Nashuhudia mambo ya ajabu baada ya uongozi wangu!

    Kuna taarifa kuwa Ikulu inahaha kusaka picha na sauti vilivyorekodiwa baada ya baadhi ya magazeti kumnukuu Mkapa akiponda Serikali ya JK wakati wa kusimikwa kwa Askofu Mpya kule Bukoba.Eti Mkuu wa Kaya haamini kama kilichoandikwa ndiyo ukweli na uwazi wa Ben
  14. K

    CCM yaigaragaza tena CHADEMA

    mleta uzi ni zao la Mulugo aka Hashimu
Back
Top Bottom