KAJUGUJUGU
Member
- Feb 12, 2013
- 27
- 9
Kama kuna miujiza inatokea duniani basi itakuwa ni CCM kupata ushindi wa maana Bukoba mjini uchaguzi wa Oct 25
Kama kuna miujiza inatokea duniani basi itakuwa ni CCM kupata ushindi wa maana Bukoba mjini uchaguzi wa Oct 25
Hili ni kweli kabisa,katika majimbo ambayo UKAWA hatuna wasiwasi hilo pia limo.
tanga ,songea mjini,mbeya yameenda ukawa -na majimbo ya dsm yatachomoka sana maana wanaoogopa kuchakachua dsm
Sio bukoba tuu kwa nchi nzima ccm wameondoka wanajua wazi wameishiwa hata pumzi ya kuchakachua
kama kuna miujiza inatokea duniani basi itakuwa ni ccm kupata ushindi wa maana bukoba mjini uchaguzi wa oct 25
Mnajua kujipa moyo.Lwakatare kachoka mbaya!
Hata Nkenge Kamala yuko hoi