Simu yangu nimeitumia kwa miaka mi3 sasa TECHNO H5, Juzi nimeiwasha ila nataka ku-slide nitoe lock ikawa inaonesha waves tu lakin ukigusa screen no response, button za pemben yaani ya kuwasha na za sauti zote zinafanya kazi na earphone natumia kupokea simu kama nimepigiwa... ila shida ni...
Daaaah jamaa angu acha tulioko darasani tuuseme ukweli...kama unasubiri serikali ije kukutangazia madhaifu haya umepotea na tabia yenu hii ya kutetea upuuzi Mungu anawaona.
Kilichosemwa ni ukweli mtupu, kama una rafiki zako wanafunzi kati ya UDSM and ARU waulize utapata ukweli, kuliko kutetea...
KISMIRI ni special school wanafunzi wanao join pale vgezo lazima uwe umefaulu sana kwa sayansi na arts wapo boys and girls kifupi ipo level za ILBORU, TABORA BOYS, MZUMBE, MSALATO, KILAKALA, na KIBAHA .
Naomba msaada kwa wale waliopitia private candidate wakiwa o-level wakati wa kununua vocha via M-pesa kwa ajili ya application za mikopo na wanatumia index number ipi?? Maana wanakua na vyeti viwili vyenye index number tofauti.
M nachojua Ardhi yenye Thamani zaidi ya Mil 5 kesi yake huwa haiwezi kusikilizwa na Village land council.
Lakini vilevile Sheria ya Ardhi inamtaka mnunuaji kutafuta taarifa muhimu kuhusu kiwanja kutoka kwenye vyanzo muhimu kama ofc za Ardhi ili kujiridhisha kwamba Ardhi husika haina mgogoro...
Habar za wakat huu Wadau.
Nina tatizo kwenye Simu yangu, nikiweka laini ya Airtel inawasha GPS automatically kama nimewasha data na hata nikizima baada ya sek kama 45 inajiwasha tena nimeshindwa kuelewaTatizo ni nn maana nikiweka laini za Mitandao Mingine Tatzo kama hili halijitokezi.
Kwa yeyote...
Hao waTanzania walio pata pa kuanzia ni akina nani?
Usitake kuchezea akili za watu unajua kabisa hii issue imeongewa mara kibao nyie mnaojiita WaTanzania mmeshawahi kufanya nn tangu 1999.....au ndo mnatafuta wa kupeleka Mapwepande?? kwa sababu zisisizo na Kichwa wala Miguu.
"ni vigumu sana...
Ahaaa tukalien habari mbaya kwa UKAWA akati wanaofaidika ni wote....plus MAKAMANDA wanaenda kuongeza elimu wakitoka hapo au hata kabla mapambano on air.....hii nchi bila kupaza sauti mambo hayaendi.....nawaomba UKAWA Na wapigania haki Na usawa msisite kupaza sauti maana bila hvo tulikua...
Jamaa angu cjawah kuona hata cku moja ya Nyerere akiwa amevaa vazi LA CCM, hlo ndo unaliona kwà Lowassa kutovaa nguo ya chama chake, au una agenda nyingine??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.