Mkuu sijasema
sijakosea au sina makosa. Mada hapa ni kwamba kuwalea nshakubali wala silalamiki juu ya hilo. Issue hapa ni uhalali wa watoto kama ni wangu au lah!
Habari wakuu? Moja kwa moja kwenye mada:
Kuna mdada nilikutana nae kimapenzi tarehe 16/04/2023, baadae akadai ana mimba yangu.
Mimi kwa kuwa nilikuwa na mashaka na ile mimba nikajipa muda nione siku atakazokuja kujifungua kama zinaendana na siku nilizokutana nae.
Bahati nzuri akaja...
Huyo Mike Mushi mnaemsemaga mbona simuonagi kwenye critical issues zinazoihusu JF?? Naona mnammilikisha mchaga mwenzenu kitu ambacho hata hakimiliki
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.