Recent content by kaimu mbukwa

  1. K

    Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

    Gwajima nafikil maandiko yaliposema kutatokea manabii wa uongo tayar ameshaanza gwajima. Kaz kwa kondoo wako.ibada itageuka kuwa siasa ko na sadaka juu au Sent from my HUAWEI Y336-U02 using JamiiForums mobile app
  2. K

    Ushauri kwa Mange Kimambi

    Jaman kiongoz mzur huzawaliwa(leader is born not made) hata kama elimu ya makonda haielew bado makonda is the best leader.kizur DC hana kiwango cha elimu knacho mlimit. Makonda azid kuiokoa tz na mungu ampe uzma Sent from my HUAWEI Y336-U02 using JamiiForums mobile app
  3. K

    Paul Makonda kujibu tuhuma zilizoelekezwa kwake kupitia PB ya Clouds FM tar Februari 23, 2017

    Kuhusu kufoj chetu inahusiana vp na sakata la kupambana na madawa? Kama ingekuwa RC inahitaj elimu fulan bc angekaguliwa.hata akifoji bado tutazid kumuunga mkono ad mwisho Respect to makonda Sent from my HUAWEI Y336-U02 using JamiiForums mobile app
  4. K

    Zitto: Kuna amri inatoka juu kuwakataza Mkuu wa Mkoa na Wilaya kukaidi kuja Bungeni kuhojiwa

    Akumbuke tunamsikia anayosema huyo zitto.bunge hata kama wana mamlaka sana lkn kwa namn moja au nyngne wanahusika na madawa ya kulevya. Kwann wamuite RC.waache kujideffence kama wamo wawajibishwe tyuu.
  5. K

    Msanii Ney wa Mitego kujenga kanisa

    Siyo wazo baya kwan iman sahv imetoka makanisani kilichobaki ni biashara na mambo mengne mazto. Big up ney(nyambara gwa bhandu)
  6. K

    CHADEMA wamtelekeza Mwenyekiti wa BAVICHA wilaya ya Geita, Mhere Mwita baada ya kupata ajali Dodoma

    Unafiki,ubinafsi na upendeleo upo sana chadema.thus why kuipata nchi hii had wabadilke sana.pole kamanda mhere
  7. K

    KISUTU: Yaliyojiri kesi ya Tundu Lissu na Wahariri wa Gazeti la Mawio. Shahidi wa Jamhuri aweweseka

    Mawio na waandish wake wahojiwe na kama yapo mahojiano na lissu bs wawajibike haraka.tunaipenda aman yetu
  8. K

    Dawa za Kulevya: CHADEMA wafungua kesi dhidi ya Makonda

    Chadema mnafikr hatma ya hii kes itakuwa nn??? Kwa vyovyote hamuwez kushnda. Na kama mnaijua mbinu nzur zaid mnatakiwa kumsaidia makonda.coz hili ni pgo la taifa hasa kwetu vijana Asante
  9. K

    Ridhiwan Kikwete afunguka sakata la dawa za kulevya

    Hapo anatumia deffencing mechanism.acha 97 achunguzwe
  10. K

    Manji atakiwa kuripoti Ofisi za Mamlaka ya Uhamiaji. Pasi 126 za kusafiria zakamatwa ofisini kwake

    Ni vzr serikal iweke mkazo kwenye hili ili angalau wazawa tupate japo fursa Ushaur isiwe kwa manji iwe makampun yote tuu tz
  11. K

    DAR: Jengo la NHC zilipo ofisi za Tanzania Daima na Billicanas laanza kubomolewa

    Kwani dawa ya kudaiwa ni kubomoa??? Aache tu Sent from my HUAWEI Y336-U02 using JamiiForums mobile app
  12. K

    Waziri Mkuu afuta posho kwa watumishi wa umma nchini

    Umetoka kwa watumish usisahau kuwapunguzia wabunge kwan kaz yao ndogo sana Sent from my HUAWEI Y336-U02 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom