Recent content by kailem

  1. K

    Ninadaiwa kodi ya nyumba na sina kazi kwa sasa, msamaria mwema nisaidie

    naomba unipeleke kwa mwenye nyumba niweze mlipa hiyo kodi. upo tayari??
  2. K

    Rushwa, Kujuana, Ukabila katika Halmashauri ya Moshi

    kuna ugomvi nimeshuhudia wa wachaga mtu na kakake wanagombea shamba la urithi. Walifika hatua wakaacha kusalimiana mpaka kukataza watoto wao wasitembeleane. Na mpaka kaka mkubwa anafariki hawakuwahi kuelewana kisa ni shamba la urithi. hao ni ndugu wa tumbo moja je kwa mchaga na kabila lingine...
  3. K

    Rushwa, Kujuana, Ukabila katika Halmashauri ya Moshi

    well said mdau, mchaga anaweza akakutumia majambazi kisa mlitofautiana kwenye pesa......wachaga ni mkosi
  4. K

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Mheshimiwa rais, nikupongeze kwa juhudi zako tangu umeapishwa na watanzania tunakuombea afya njema na ulinzi wa mwenyezi mungu. Tunaomba serikali kupitia wizara yake ya makazi iangalie upya bei za kodi za nyumba kwa jiji la Dar. Bei zimekuwa zikipanda kila kukicha bila utaratibu na...
  5. K

    Mke wa Mtikila ataka iundwe Tume kuchunguza kifo cha mumewe, Lowassa, Sumaye na Mnyarwanda watajwa

    We Lusungo hujafa hujaumbika, hayo sio maneno ya kumwambia mjane aliyefiwa. Siku ukifiwa na mtu wa karibu utaelewa uchungu wa kufiwa
  6. K

    Kiongozi mkubwa BAVICHA kujiunga na UVCCM kesho

    Tuna mitazamo tofauti. Mimi naamini kiongozi aliyeko juu ni muhimu sana katika kutekeleza dira na maendeleo kwa ujumla. Chama hakiwezi kuleta maendeleo lakini anayeongoza chama ni muhimu sana kwa kufanikisha mipango iliyowekwa. Kwa hiyo sifa za wagombea zinahusu sana sana kwa hatma ya Tanzania...
  7. K

    Kiongozi mkubwa BAVICHA kujiunga na UVCCM kesho

    Una uhakika ndugu?? unaonaje ndani ya mioyo ya watu?? katu usiusemee moyo wa mtu mwingine...subiri yatakayojiri baada ya uchaguzi ndio utaelewa watanzania wanaelewa kwa dhati wagombea ambao ni full wasanii na ambao wana nia ya dhati ya kuona Tanzania inajikwamua kiuchumi
  8. K

    Shipping Container

    Habari za mihangaiko wanajamvi, Nauilizia mtu yoyote anayefahamu wapi naweza nunua shipping contaner na huwa ni bei gani? Nipo maeneo ya Arusha
  9. K

    Utafiti wa Synovate: Magufuli aongoza kwa 62%. Yabainika watanzania bado wana imani na CCM

    kura zetu za wabunge ni UKAWA lakini rais ni Magufuli
  10. K

    UKAWA wanaona aibu kurusha hotuba za Lowassa

    Kiukweli nikisikiliza hotuba za Mwl Nyerere na za mgombea urais wa chadema/UKAWA ni kama mbingu na ardhi. Hotuba za nyerere hadi leo ukisikiliza unajifunza na unapata maarifa nazimeweza kutunzwa kama kumbukumbu. sasa hizi za mgombea UKAWA kweli tunaweza kuhifadhi kwa wajukuu na watoto wetu...
  11. K

    Magufuli toa ahadi hizi hata UKAWA tutakupigia kura

    Magufuli tutakupa kura ya kushinda urais sisi wana UKAWA ila tunataka idadi ya wabunge kutoka UKAWA izidi ile ya CCM kuondoa mfumo gandamizi wa CCM na pia wafahamu kuna viongozi waadilifu kutoka UKAWA wazuri tu. Hii italeta uwiano kwa wagombea wote na pia mapinduzi ya uchumi yatawezekana na...
  12. K

    Mkutano wa CHADEMA wa kuchangia kampeni za Uchaguzi - Sept 21, 2015

    jamani watanzania wako hoi na hali ngumu hata nauli shida na nyinyi mnataka michango tena?? mnaweza kufanya kampaigni kwenye mitandao na TV kupunguza gharama. Mngefanya la maana wakati mgombea akiwa CCM kabla hajaamia UKAWA kuwaomba mchango wananchi kuboresha hospitali na mashule kuwa na hadhi...
  13. K

    Mgombea urais na elimu yenye mashaka

    Aliyekwambia elimu ya nje ina msaada kwa watanzania ni nani? angalia nchi zilizoendelea jinsi wanavyothamini elimu na vyuo vyao na wanafanya kazi usiku na mchana kujenga nchi yao. Kwa hiyo ungetathmini tufanyaje kuboresha elimu yetu na sio kupoteza fedha za kigeni kupeleka watanzania kusoma nje
  14. K

    Maandamano ya CHADEMA ya Wafuasi wa Dr. Slaa Jijini Mwanza

    Well said mdau!! wazungu wanasema 'nature will take its own course' Nguvu alizotumia Dr Slaa kukijenga chama na kutufungua macho watanzania haziwezi kupotea. Dr Slaa tutakukumbuka kwa kujitoa kupigana na ufisad na bado vita hii itaendelezwa na wengine pamoja na wewe. Ninaamini maendeleo ya nchi...
  15. K

    Yaliyojiri UKAWA na Waandishi: Wajibu tuhuma za Dr. Slaa

    unampenda wewe mwenyewe usiingize watanzania wengine......
Back
Top Bottom