Recent content by kahollya

  1. K

    Happy birthday Mange Kimambi

    Si vibaya kumpongeza kwa siku yake ya kuzaliwa..nami nakutakia maisha marefu yenye furaha na fanaka. Bwana Yesu awe nawe!
  2. K

    Mbunge wa Kiteto matatani baada ya kuwa na vijakazi 14 raia wa Burundi

    Yawezekana alikuwa anawahifadhi ndugu zake wa asili yake..kwani ni mmasai huyo..?
  3. K

    Lukuvi: Nitamchukulia hatua mfanyabiashara aliyempa Makonda ardhi kwa ajili ya Viwanda

    Hao wahindi wana ofisi hapo nyuma ya mahakama ya kisutu..kampuni ya global...sijui nini..bila shaka ukuta umepakana na olympio primary...nenndeni hapo wanashirikiana sana na maafisa ardhi kuchakatisha ardhi popote hapa Tanzania. Nasikia wameimaliza ardhi ya rufiji na wapi huko..any fertile land...
  4. K

    Meya Boniphace Jacob amfungukia RC Makonda

    Wow..chezea kuwa over ambitious....tamaa mbele mauti nyuma..naona giza linazidi upande wa bashite..
  5. K

    Si wamemwaga ugali ?Wema kamwaga mboga

    Kama nchi imejaa pathetic people kama wewe unategemea nini? After all wewe ni nani mpaka uishauri chadema uso kuwa na mapenzi nayo..really boring
  6. K

    Magufuli hakujiandaa kuwa rais, atatuangusha tu

    Namna ipi??? Mbona kama unaota vile!! kama kandoto ka Arusha hivi
  7. K

    Makonda, tulikuambia ngoma ya watoto haikeshi hukusikia

    Umeandika mambo mengi...hakika ni ya kihisia zaidi na yasiyokuwa na lepe la kitaalamu. Siasa ya viwanda hapa inawezaje kutekelezwa? Mtu kuumiza wengine na kudhalilisha wengine coz ya kutaka kufanikisha malengo yake yya kisiasa unamsifia? Anegkuwa mbunifu na kuongeza takwimu za viwanda vipya...
  8. K

    Dawa za Kulevya: Yusufu Manji afikishwa Mahakamani Kisutu, aachiwa kwa dhamana

    Kwa mara ya kwanza .....upelelezi umekamilika? Inaweza kuwa ni tamthiliya ya Isidingo;);)
  9. K

    Nimekubali Magufuli ameletwa na Mungu. Najuta kutompigia kura

    Absolute statements zinaonesha kiwango cha elimu cha baadhi ya wachangiaji humu ndani ya JF. Wengine kama mtoa uzi bado angojea nafasi za uteuzi kama fisi asubirivy kivuli cha mkono kidondoke kama mfupa vile ..mwishowe kadumbukia katika kisima na kuangamia
  10. K

    Manji atakiwa kuripoti Ofisi za Mamlaka ya Uhamiaji. Pasi 126 za kusafiria zakamatwa ofisini kwake

    Kila mtu anawaza na kusifia kitenda hiki. Mimi naombea haki na usawa ..fairness katika kupambana na wahalifu wa aina zote nchini mwenu. Ikiwa tutatanguliza ushabiki na chuki tutaishia kujenga visasi na kutoaminiana. Matokeo ya haya ni laana na taifa lisilojali haki za raia wake hulaaniwa.
  11. K

    Makonda akosolewa na Tume ya kudhibiti Madawa ya kulevya

    Ujasiri wa makondo ni kujiuzulu baada ya tuhuma kutoka kwa wabunge na mwenendo wake wa hivi karibuni kama zilivyoripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari jamii..safari, GSM, wema, masogange n.k
  12. K

    Kwanini Manji anaandamwa na huu utawala?

    Watu wengi humu wametumwa kutafuta habari zaidi!! Kimsingi usichekelee msiba wa jirani..watanzania ni rahisi kupotezwa malengo...mlianza na sukari...kisha ..sijui nini..ni kitu gani manachokifanikisha japo mkitolee taarifa?? kama ilivyo lugha yenyewe,..nita..tuta..ndo msingi wa maendeleo..
  13. K

    Ni aibu kwa USA kutotambua Uislam katika sherehe za kuapishwa kwa Trump

    Islam from what I hear is a cult and not a religion...so it would have been not proper to welcome them..au nimekosea!!?
  14. K

    Video: Hotuba ya Rais Magufuli kwenye uzinduzi wa barabara Kenya

    ...corrections..there was no need....huyo mungu wako...
Back
Top Bottom