Magufuli hakujiandaa kuwa rais, atatuangusha tu

Inaonekana mmepunguza maombi, mwenyewe anawasisitiza kila wakati mumuombee hamumuelewi. Zidisheni maombi ndugu. Hili suala la Hapa kazi tu ni gumu, bila maombi kwa Mungu ni zigo la misumari.
 
Tanzania inatakiwa tuwachague upinzani japo kwa kipindi kimoja cha mika motano. Maana baada ya hapo CCM itajua wakifanya upuzi wanapigwa chini. Ila sasa hivi tutaendela kusota maana CCM wanakeuri ya ajabu wakijua hatutawafanywa lolote.
 
Kwa jinsi mambo yanavyoenda waliosoma kitabu cha mfalme **** wanaweza kuwa na mengi ya kusema.

Mi nauliza jamani wanazuoni, hivi Huyu bwana Pombe kweli kwa utawala huu Wa kimagumagu alipaswa kuwa Raisi au angebaki tu kuwa waziri Wa ujenzi apewe maelekezo ya nini cha kufanya?

Mi naona kama uraisi ni mzigo mkubwa sana ambao amebebebeshwa gafla bila kutarajia. Maana kama alivyokurupuka kugombea ndivyo anavyokurupuka kuendesha taifa.

Au we unaonaje?

Rais Magufuli alipangwa kuja kutukomboa watanzania, haya yanayo endelea ni uozo wa Kikwete ambye yeye anajitahidi kuumaliza.
 
Kwa jinsi mambo yanavyoenda waliosoma kitabu cha mfalme **** wanaweza kuwa na mengi ya kusema.

Mi nauliza jamani wanazuoni, hivi Huyu bwana Pombe kweli kwa utawala huu Wa kimagumagu alipaswa kuwa Raisi au angebaki tu kuwa waziri Wa ujenzi apewe maelekezo ya nini cha kufanya?

Mi naona kama uraisi ni mzigo mkubwa sana ambao amebebebeshwa gafla bila kutarajia. Maana kama alivyokurupuka kugombea ndivyo anavyokurupuka kuendesha taifa.

Au we unaonaje?
Mimi nafikiri cheo cha juu kabisa alichostahili ni kuwa baba tu.
 
"Huyu hafai kabisa, na kama anataka kurudi Ikulu 2020 basi arudi kama bodyguard wa raisi"
 
Back
Top Bottom