Ndugu hapa umeongea Pumba.... Sidhani ya kuwa wewe ni mwanachuo.. Kama ungalikuwa chuo usingesema hivi.. Hata ukigoma utadai Kwa Nani... No one is there to help... Sasa unagoma nini.. Zaidi zaidi unaweza kuishia kudisco tu.. "kama hukijulii kitu uchungu usiseme kaa kimya" epuka Sifa Za kijinga
Acha ushabiki wa ajabu ajabu wewe uko chuoni Sasa hivi... Hii sio issue ya kuamini au kutoamini... Watu tuko hapa chuo na tumekosa mikopo... Tunasoma Kwa mikopo ya bank... Watu wengine wamerudi Nyumbani sababu ya kunyimwa mikopo hii Pamoja na kuwa tunastahili lakini Serikali imetunyima... Pamoja...
Umekosea mkuu mimi nasoma SUA... Watu wa udsm huwa wanakuja SUA for more practical.... Ukizingatia mostly.. Kwa cozy Za kilimo kama Aquatic science and Fisheries.. Walikuja mwaka huu kwa simple statistics... Hata lecturers wengi wa Cozy Za kilimo Za Udsm chimbuko Lao ni sua... Labda wanaweza...
Bradha tatizo la Ajira haliko centered Kwa Agronomy tu... Ajira ni Universal problem... Unaweza kuwa shuhuda Kuna shule kibao tu hazina Walimu...Au Walimu waliomaliza mwaka huu wameajiriwa wangapi? Lakini demand yao ni kubwa right?
Ajira ni tatizo la cozy zote mkuu.. Iwe engineering...
Iko Poa tu mkuu... Karibu sua... Then ukishafika utajua iko Vipi.. Kama usipopenda... Unaweza kubadilisha... Zipo degree programs kibao nzuri zaidi ya 30 so usihofu... U can Change....
Karibu SUA mkuu me nasoma BSc Agronomy.. Hivyo siwezi kukupa details zaidi labda unicheki inbobo nikupe numbe...
Hii Kwa Ajili ya Mwaka wa Kwanza Waliochaguliwa Cozy hii hapo... BSc Agronomy, ni Moja ya Degree programs Zinazotolewa na Chuo kikuu cha Kilimo Cha Sokoine.. (SUA)
Agronomy (Ancient Greek ἀγρός agrós 'field' + νόμος nómos 'law').... Agronomy Ni sayansi ya kilimo..
Kwa kifupi... Inadeal na...
Ila ndoa haivunjiziki... Kwa kuhamisha Upendo... Bora watu wawe kitu kimoja maana siku ya hukumu Itakuwa Balaa... Alichokiunganisha Mungu Mwanadamu asikitenganishe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.