Maalumu kwa waliochaguliwa bachelor of science in Agronomy

Kahise Junior

Member
Aug 6, 2016
23
27
Hii Kwa Ajili ya Mwaka wa Kwanza Waliochaguliwa Cozy hii hapo... BSc Agronomy, ni Moja ya Degree programs Zinazotolewa na Chuo kikuu cha Kilimo Cha Sokoine.. (SUA)
Agronomy (Ancient Greek ἀγρός agrós 'field' + νόμος nómos 'law').... Agronomy Ni sayansi ya kilimo..

Kwa kifupi... Inadeal na Aspects kuu mbili Mazao(Crops), na Udongo(Soils). Mtaalamu wa Sayansi hii anaitwa.. Agricultural Scientist au Agronomist au Crop Scientist au Soil Scientist.
Agronomy inauwanja mpana Sana, inajumuisha knowledge kama Sayansi ya Udongo.. Ambapo Hapa utajifunza mambo mengi Sana Kuhusu tabia na Sifa Za Udongo wa Aina mbali mbali... Soil physics, Soil Chemistry, Soil Biology,
Soil Classification, land reclamation, etc.
Hapa chini ni baadhi ya Course mbali mbali Za upande wa Udongo Ambazo Baada ya kuhitimu utakuwa mtaalamu na Mtafiti wa Mambo ya Udongo Ambao Ndio Foundation ya Uzalishaji wa Mazao(Crops) Takribani 99% tunalima kwenye udongo.
Cozy hizi hapa Chini ninaziainisha Kwa Mpangilio tangu mwanzo WA Degree program mpaka Mwisho yaani 3rd year.
1 . Agricultural Chemistry
2 . Introductory Geology and Soil Formation
3 . Agro meteorology
4 . Soil Physics
5 . soil chemistry
6 . soil classification
7 . management of dry lands
8 . wetland ecosystems & their management
9 . research methodology
10.agrochemicals and manures
11. Soil Biology
12.research project 2
13.Soil fertility & Land productivity
14. Land husbandry and Conservation Agriculture
15. Farm&agronomic enterprise skills
16. Principles and application of agro forestry
17. Agricultural land use planning
18. Plant Nutrition
19. Management of Natural resources & sustainable Agriculture

Hizo ni cozy Ambazo Mtaalamu wa Kilimo au Agronomist atazisoma.. Zile zihusuzo Udongo.. Unaweza kuona how you become an expert... Kwa upande wa Uzalishaji...

Sasa tuje Kwa zile Cozy Za Crops... Au Mazao...
Agricultural Microbiology
Plant physiology
Agricultural Botany
Genetics
Introductory Entomology

Crop Physiology
Molecular Biology

Introduction to Plant Pathology
Weed Biology
Annual Crops
Principles of Agronomy

Applied Entomology
Seed Technology
Plant Biotechnology

Perennial Crops
Weed Management
Plant Breeding
Applied Plant Pathology

Hizi Ndio course Za upande wa Crops..
Pia Kuna course kibao sijazitaja.. Ambazo zinahusu uchumi wa Kilimo, hesabu, Mambo ya Current issues... Pia mambo ya Sociology... Kwa Kweli Kuna so many interesting Courses...

Agronomists often specialise in areas such as crop rotation, irrigation and drainage, plant breeding, plant physiology, soil classification, soil fertility, weed control, and insect and pest control.

Agronomists study sustainable ways to make soils more productive and profitable. They classify soils and analyze them to determine whether they contain nutrients vital to plant growth. Common macro nutrients analyzed include compounds of nitrogen, phosphorus, potassium, calcium, magnesium, and sulfur. Soil is also assessed for several micro nutrients, like zinc and boron. The percentage of organic matter, soil pH, and nutrient holding capacity (cation exchange capacity) are tested in a regional laboratory. Agronomists will interpret these lab reports and make recommendations to balance soil nutrients for optimal plant growth.



This area of agronomy involves selective breeding of plants to produce the best crops under various conditions. Plant breeding has increased crop yields and has improved the nutritional value of numerous crops, including corn, soybeans, and wheat. It has also led to the development of new types of plants. For example, a hybrid grain called triticale was produced by crossbreeding rye and wheat. Triticale contains more usable protein than does either rye or wheat. Agronomy has also been instrumental in fruit and vegetable production research.


Karibuni Sana Wapendwa hapa nimewapa.. Hints too... Kuhusu Ajira....Cozy hii ni diverse Sana kama unavyoona... Kwanza inakusaidia uwe na uwezo wa kujiajiri Mwenyewe Kwa ukulima wa kitaalamu.. Unapokuwa na mtaji... Lakini pia kwa kuajiriwa ... Unaweza kuajiriwa halmashauri..... Kama Afisa kilimo.... Au katika taasisi Za kitafiti.... Mfano... Ukiliguru... SUA..... Ilonga... Seriani etc.. Ukiwa kama mtafiti katika mambo ya Udongo(Soil analyst) ..., wadudu waharibifu(Pests Management and Control)... Utafiti wa Mazao... Mambo ya Plant breeding.... Mtafiti wa Mimea mbali mbali (Agricultural botanist)... Etc so u can be many things...

Kilimo kina tija... Karibuni Agronomy Karibuni Sokoine University of Agriculture

****Ardhi ni Hazina*****
 
VIPI KIASI CHA WATU WANAOKOSA AJIRA BAADA YA MASOMO NI KIASI GANI
Bradha tatizo la Ajira haliko centered Kwa Agronomy tu... Ajira ni Universal problem... Unaweza kuwa shuhuda Kuna shule kibao tu hazina Walimu...Au Walimu waliomaliza mwaka huu wameajiriwa wangapi? Lakini demand yao ni kubwa right?
Ajira ni tatizo la cozy zote mkuu.. Iwe engineering,,, Education.. Bvm Etc..... Pia Kwa siku hizi Ajira haiko plain tu kwamba unaikuta unaitafuta mzee..
Uzuri wa kozi hii ina ku equip uwezo wa kujiajiri....

Lakini pia hapa sua Kuna Miaka miwili Kati Kati ya 2011-2017 Agronomy Graduates waliomaliza waliajiriwa directly after graduation.... Unaweza kuja kuprove kama huamini Njoo sua Kwa data zaidi

Zaid ya Hayo Agronomy... Degree program inatolewa SUA tu.....Pia haina... Diploma wala Certificate...... Hata Idadi wa admission capacity ni ndogo Kati ya wanafunzi 60-80 so unaweza kuona demand ilivyokuwa kubwa

Agronomists are highly demanded mkuu
 
Bradha tatizo la Ajira haliko centered Kwa Agronomy tu... Ajira ni Universal problem... Unaweza kuwa shuhuda Kuna shule kibao tu hazina Walimu...Au Walimu waliomaliza mwaka huu wameajiriwa wangapi? Lakini demand yao ni kubwa right?
Ajira ni tatizo la cozy zote mkuu.. Iwe engineering,,, Education.. Bvm Etc..... Pia Kwa siku hizi Ajira haiko plain tu kwamba unaikuta unaitafuta mzee..
Uzuri wa kozi hii ina ku equip uwezo wa kujiajiri....

Lakini pia hapa sua Kuna Miaka miwili Kati Kati ya 2011-2017 Agronomy Graduates waliomaliza waliajiriwa directly after graduation.... Unaweza kuja kuprove kama huamini Njoo sua Kwa data zaidi

Zaid ya Hayo Agronomy... Degree program inatolewa SUA tu.....Pia haina... Diploma wala Certificate...... Hata Idadi wa admission capacity ni ndogo Kati ya wanafunzi 60-80 so unaweza kuona demand ilivyokuwa kubwa

Agronomists are highly demanded mkuu
Apo nimekusoma mkuu
 
Back
Top Bottom