Tunatekeleza-boom kwa wanafunzi wa vyuo nchi nzima limeshatua kwenye akaunti za vyuo

Siamini kama kuna mwenye vigezo amekosa mkopo.
Unaweza usiniamini mimi kutokana na miwani uliovaa lakini nafikiri picha umeiona leo pale HESLB na kesho itakuwa kwenye magazeti, sikiliza video zilizowekwa na soma magazeti kwa umakini, halafu ukitaka rudi tujadiliane.
 
Siamini kama kuna mwenye vigezo amekosa mkopo.
Acha ushabiki wa ajabu ajabu wewe uko chuoni Sasa hivi... Hii sio issue ya kuamini au kutoamini... Watu tuko hapa chuo na tumekosa mikopo... Tunasoma Kwa mikopo ya bank... Watu wengine wamerudi Nyumbani sababu ya kunyimwa mikopo hii Pamoja na kuwa tunastahili lakini Serikali imetunyima... Pamoja na kuappeal.... Huna data wala ushahidi unasema sema tu...
 
Toka Rais Magufuli aingie madarakani sijasikia maandamano ya wanavyuo kuelekea HELSB kudai fedha za mikopo ya elimu ya juu.

Hii ilikuwa ni kero kuu iliyokuwa inapelekea kuibua migomo ya mara kwa mara vyuoni.

Imesimamiwa na kupatiwa ufumbuzi.

Leo ninapoanzisha thread hii nimejiridhisha kupitia msemaji wa serikali ,wahasibu wa vyuo na baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini kuwa ule mzigo unaosubiriwaga kwa hamu kubwa hasa hasa kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza yaani kwa jina maarufu unaitwa "BOOM" umeingia rasmi kwenye akaunti za vyuo.

Hata hivyo kuna tetesi ya kuwa vipo baadhi ya vyuo vinataka kufanya figisu figisu kwa kujaribu kukatakata hilo boom la wanafunzi kwa sababu mbalimbali zisizo na mashiko ...ni vyema wakaacha kwani katika hili Serikali ya jembe John P Magufuli haitamuacha mtu salama pindi anapochezea haki ya mnyonge.

Wito wangu kwa vijana ambao miezi michache iliyopita walikuwa humu jamvini tukijumuika nao kwa raha na shari na sasa wako kwenye mishemishe za kusaini boom ...wazitunze fedha wanazopata na kuzitumia kwa manufaa ya kielimu zaidi.

Katika kampeni za kuomba kura Rais Magufuli aliahidi kutoa elimu bure hadi sekondari na kwa sasa shule zinapatiwa moja kwa moja fedha za elimu bure.

Vile vile Magufuli aliwaahidi wanafunzi wa elimu ya juu kupata mikopo kwa wakati na kurekebisha utendaji wa HELSB na taasisi nyingine zinazohusiana na elimu ya juu.

Nihitimishe kwa maneno ya Dr Abbas kwamba" Serikali ni Tajiri Sana "

Na hivyo tunaweza kushuhudia Bombardier zikinunuliwa ,Reli ikijengwa,miradi mbalimbali ikitekelezwa kwa fedha za ndani huku wanafunzi wetu wakiwezeshwa kusoma bila vikwazo.

Basi kwa wanavyuo wote njooni hapa tupeane mrejesho wa boom na yanayojiri....

KWA HISANI YA WATU WA TANZANIA!
Ndugu hapa umeongea Pumba.... Sidhani ya kuwa wewe ni mwanachuo.. Kama ungalikuwa chuo usingesema hivi.. Hata ukigoma utadai Kwa Nani... No one is there to help... Sasa unagoma nini.. Zaidi zaidi unaweza kuishia kudisco tu.. "kama hukijulii kitu uchungu usiseme kaa kimya" epuka Sifa Za kijinga
 
Kama huna kigezo usilazimishie boom hutapewa
We mtu elewa hii siyo rocket science tunayoenda kusomea Urusi awali kabala hata ya applicants hawajakamilisha kutuma maombi yao kwa bodi wenyewe HESLB walisema watatoa mikopo kwa wanafunzi 30,000 tu, naomba urudi nipe jibu swali hili.
HESLB walijuaje kama wanafunzi wahitaji ni 30,000 tu kabla hata hawapata maombi ya watu wote?
 
Toka Rais Magufuli aingie madarakani sijasikia maandamano ya wanavyuo kuelekea HELSB kudai fedha za mikopo ya elimu ya juu.

Hii ilikuwa ni kero kuu iliyokuwa inapelekea kuibua migomo ya mara kwa mara vyuoni.

Imesimamiwa na kupatiwa ufumbuzi.

Leo ninapoanzisha thread hii nimejiridhisha kupitia msemaji wa serikali ,wahasibu wa vyuo na baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini kuwa ule mzigo unaosubiriwaga kwa hamu kubwa hasa hasa kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza yaani kwa jina maarufu unaitwa "BOOM" umeingia rasmi kwenye akaunti za vyuo.

Hata hivyo kuna tetesi ya kuwa vipo baadhi ya vyuo vinataka kufanya figisu figisu kwa kujaribu kukatakata hilo boom la wanafunzi kwa sababu mbalimbali zisizo na mashiko ...ni vyema wakaacha kwani katika hili Serikali ya jembe John P Magufuli haitamuacha mtu salama pindi anapochezea haki ya mnyonge.

Wito wangu kwa vijana ambao miezi michache iliyopita walikuwa humu jamvini tukijumuika nao kwa raha na shari na sasa wako kwenye mishemishe za kusaini boom ...wazitunze fedha wanazopata na kuzitumia kwa manufaa ya kielimu zaidi.

Katika kampeni za kuomba kura Rais Magufuli aliahidi kutoa elimu bure hadi sekondari na kwa sasa shule zinapatiwa moja kwa moja fedha za elimu bure.

Vile vile Magufuli aliwaahidi wanafunzi wa elimu ya juu kupata mikopo kwa wakati na kurekebisha utendaji wa HELSB na taasisi nyingine zinazohusiana na elimu ya juu.

Nihitimishe kwa maneno ya Dr Abbas kwamba" Serikali ni Tajiri Sana "

Na hivyo tunaweza kushuhudia Bombardier zikinunuliwa ,Reli ikijengwa,miradi mbalimbali ikitekelezwa kwa fedha za ndani huku wanafunzi wetu wakiwezeshwa kusoma bila vikwazo.

Basi kwa wanavyuo wote njooni hapa tupeane mrejesho wa boom na yanayojiri....

KWA HISANI YA WATU WA TANZANIA!
Boom linakuhusu nn mkuu?
 
Mbona kama umetumwa na bashite ila nimependa utafiti wako na umekuwa muwazi usiopingika.

Mkulu angeuona uzi huu naona angechekackwa herufi kubwa
 
Back
Top Bottom